Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hapana, Hiyo niliyoandika ni gharama ya manunuzi +kusafirisha + handling Charges
  • Manunuuzi nje ya nchi | Yaweza kuwa USA , Japan au China.
  • Kodi ni hapa nchini | Baada ya mzigo kufika, na kukaguliwa invoice value yake.
Mkuu hivi mzigo ukitoka huko kuja kufika Tz(wasafirishaji ni DHL) inachukua siku ngapi mzigo kukufikia mkononi baada ya kuanza Clearance?
 
Samahani mwl,Je naweza kuagiza bidhaa moja toka alibaba ikiwa nimeikosa ali express?
 
kuagiza bidhaa moja toka alibaba ikiwa nimeikosa ali express
Ndio inawezekana.
Ila tambua gharama ya kusafirisha yaweza kuzidi hiyo gharama ya bidhaa husika.
Sababu | Njia ya uusafirishaji itakuwa ni express | Na huchukuliwa kama sample.
- Je nini cha kufanya
Tafuta hiyo bidhaa ebay.com amazon.com huwezi kuikosa.
 
uzifanye wewe mhitaji umpatie tu inawezekana?
Ndio, inawezekana,

na ndio lengo hasa la hii thread.

Unachotakiwa kufanya
1. Nipe taarifa za bidhaa unayohitaji.
2. Nitakupa Jumla ya gharama | Manunuzi + Kusafirisha + Handling Charges
3. Utalipia na kusubiria ifike ili ukabidhiwe..

Taratibu zingine zote kuhakikisha mzigo unakufikia ni jukumu langu.

Muhimu: Iwapo bidhaa uliyoagiza toka nje ya nchi, ikadaiwa Kodi baada ya kufikishwa hapa nchini , Basi nitakujulisha na utalipia kodi husika, Ila 'still' inabakia kuwa ni jukumu langu kufuatilia Taratibu za clearance hapa nchini..

Karibu
 
Gharama za kuagiza air cooler au mini washing machine.??
 
OK asnate kuna simu nitahitaji naogopa kununua dar nikauziwa muwa(fake) kwa gharama kubwa ni bora nikufuate wewe.mm sipo Tanzania.

Yaani mambo ya kodi hayatakuwa gharama kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…