Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
View attachment 2466763
- Baadhi ya wauzaji, hutoa punguzo katika bei zao.
- Punguzo hufikia hadi asilimia 60 ya bei ya awali.
- Ni kawaida kwa msimu wa sikukuu kwa website nyingi za kibiashara kama ebay, amazon, aliexpress n.k
Ooooh owkay sawa kiongozi.