Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

kwa hiyo mpaka naishika mkononi samahani baadhi ya vitufe vya compyuta vimeharibika ndio maana alama ya kuuliza na herufi kubwa kutoonekana.
Sahihi, hakuna malipo mengine.
 
Laptop hii mpk mkononi bei gani?
View attachment 2553574
Kwanza tuwekane sawa

1. Picha hiyo kwenye screenshot inaonyesha | HP ProBook 450 G8 Core i7 11th Gen 1165G7 Ram 8GB DDR4 SSD 512GB 15.6"


2. Maandishi kwenye screenshot yanaonyesha | HP ProBook 650 G5 15.6"


=
Kwako Ndugu kawombe ni laptop ipi hasa unayohitaji? kati ya 450 G8 Core i7 au 650 G5 Core i5 ( Sababu screenshot uliyotuma inatupatia hizo laptop mbili tofauti)

Fanya kuingia amazon.com chagua wewe mwenyewe kisha nipe link ya bidhaa unayohitaji ili kuondoa utata.
 
Asante!!! Hata hii nipe bei yake mpk mkononi ?
 
Hii 450 G8

=
Code:
https://bit.ly/3yLpTdA
=
Kiasi cha kulipia ni TZS. ‭2,945,250‬
= Muda wa kufika | Ndani ya siku 10 hadi 14 baada ya kutolew tracking Number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…