Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitaji safety boot kama hizo za uturuki naweza pata
 

Attachments

  • Screenshot_2023-12-18-13-11-05-476_com.whatsapp.w4b.jpg
    21.9 KB · Views: 15
hapo mpka inanifikia au kuna zingine kiongoz
- Hapo ni gharama ya Kununua + Kufikisha Tanzania

Ghalama Zingine:
  • Kodi ( Mamlaka husika itatujulisha)
  • Clearance Charges | Rejea post #1 kipengele hiki.
 


Naomba kuuliza huu mzigo umefika au umefika na kuchukuliwa kabisaa
 
Naomba kuuliza huu mzigo umefika
- Ndio umefika.
umefika na kuchukuliwa
Ndio umechukuliwa.

Swali nani kachukua?
- Mzigo ukishafika mikononi mwa speedaf TZ, kwenye tracking husommeka tdelievry tayari. Japo Mzigo bado haujakufikia.

Je nini unatakiwa kufanya?
  • Ingia kwenye officila tracking page ya speedaf.
  • Weka tracking number
  • Utaona namba ya mtu mwenye mzigo wako.

Piga hiyo namba na utasaidiwa.
 
Nimefanya hivyo ila namba simu hawapokei na nimeenda posta mwenyewe ila mzigo wanasema hawajauona bado?
 
 
nimeenda posta
Tracking number iwapo inaanza na TZ000... Posta hawahusiki, Hata kama kwenye anwani yako details zote ni za posta.

Na katika maelezo yangu sijataja posta.

Rejea kusoma, maelezo ya awali
 
Tracking number iwapo inaanza na TZ000... Posta hawahusiki, Hata kama kwenye anwani yako details zote ni za posta.

Na katika maelezo yangu sijataja posta.

Rejea kusoma, maelezo ya awali
Duuuh nimekuelewa mkuu sasa hii nitafanyeje na namba hawapokei kabisaaa na hao watu wana ofisi kila mkoa ? Au ndio wana ofisi dar tu na kama wana ofisi Dar je tulioweka ananuani za mikoani kama mimi itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…