BAADHI YA TOVUTI ZITAKAZOTUMIKA KUNUNUA BIDHAA
Ziko tovuti nyingi, siwezi orodhesha zote, baadhi ninazopendekeza ni kama AMAZON & EBAY ( Bila kujali .com, .in au .uk )
Samsung S20 ultra #2. Samsung Galaxy S20 Ultra [ 128GB 12GB RAM ] https://www.gsmarena.com/samsung_galaxy_s20_ultra-10084.php
CHINA
View attachment 496445
Masoko mengine kwa china ni kama ALIEXPRESS, ALIBABA n.k
JE NITAUPATA VIPI MZIGO WANGU BAADA YA KUWA UMEFIKA TANZANIA?
- Utapigiwa simu kukujulishwa kuwa mzigo wako umefika.
- Utaletewa ofisi kwa wale wanaoishi katikati ya jiji ya Dar es salaam, FREE DELIVERY. au
- Utaelekezwa mahala unatakiwa ufike ili uchukua mzigo - Ni city centre kwa walio Dar es salaam, Waweza kuja wewe mwenye au ukamtuma mtu akuchukulie.
- Kwa walio mikoani au nje ya Tanzania
utatumiwa kwa njia ya EMS au kwa njia ya basi kwa kadri wewe utakavyo pendekeza njia ipi itumike – Utalipia hii ghalama.
Mifano hai:
1.
Mteja Toka nje ya TZ (anaishi DRC) – Bidhaa yake imetoka China, Na alitumia kwa basi kwenda DRC.
2.
Mteja ndani ya TZ anaishi Mkoani – Bidhaa yake imetoka UK
Wateja wote
nimekutana nao hapa JF na hakuna tuliye onana ana kwa ana, Zaidi ya njia za mawasiliano tajwa hapo juu.
CHANGAMOTO
ANGALIZO
1. Usifanye malipo yeyote bila kuwasiliana nami kwanza, Kwa njia mojawapo ya mawasiliano tajwa hapo juu.
2. Haito tokea
kupigiwa simu, au
kuandikiwa ujumbe mfupi, kuwa fanya malipo
kwenda namba Fulani ya simu.
3. Hakuna malipo yeyote yatakayofanyika kwa
fedha taslimu kwa kukabidhiana mkononi.
4. Malipo yote ya fedha yatafanyika kwa
utaratibu uliowekwa hapo juu.
5. Miongoni mwetu kuna wenye uoga na mawazo ya kuibiwa/ kutapeliwa pindi lijapo swala la fedha na swala zima la manunuzi mtandaoni.
Yaani kutuma fedha kwa mtu usie mfahumu/ kumuona/ asiye na ofisi mahala ulipo.
Na hujibainisha kwa haya maswali
Ofisi yako iko wapi? , Uko wapi nataka nikukabidhi fedha mkononi au nataka tuandikishiane!
- ONDOA shaka, kwa kufuata taratibu zilizo ainishwa hapo juu, uko salama, Na bidhaa yako AU huduma utakayolipia utaipata.
- Iwapo UNA SWALI, PENDEKEZO au USHAURI wasiliana namI au andika kwenye hii thread.
KARIBU