Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hivi mkuu unaagiza kutoka facebook marketplace kama ni usa?Chagua bidhaa kwenye hizi site.
- eWorldTrade
- alibaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu unaagiza kutoka facebook marketplace kama ni usa?Chagua bidhaa kwenye hizi site.
- eWorldTrade
- alibaba
Naona facebook ipo down. Nahitaji Berhinger au Steinberg audio interface kama ya 50 usd.Nipe link nikague
- Nitumie link PM
Ya kilo 8 Mkuu ntapata kwa sh.ngapi? Na itachukua siku ngapi kunifikia? Nipo geitaView attachment 2932280
TZS. 2,408,000
Mkuu naomba unitag huo uzi ndio nausikia leo.Mzee fuata ushauri uliopewa na wadau kwenye ule Uzi uliofungua na sio kudandia nyuzi za watu ndugu.
Weka friendly UI
Fungua ofisi hapa nchini
Kuwa na partnership na watu
Fanya promo ya bidhaa/website yako
Hiyo site isichagulie watu majina ya kutumia
Na maelekezo mengi tu waliyokupa wadau utasonga mbele kuliko hivi unavyofanya ni kama kutapa tapa aisee. Unamwambia mfanyabiashara mwenzako ETI WAELEKEZE WATEJA WAKO WAJE KUAGIZA KWETU PIA. Like serious...? Mwl. RCT anawaagizia watu bidhaa kutoka na unaona mpaka amefikia hapo sio zoezi la siku moja tu, sasa leo hii unamwambia awaache wateja wake na awaelekeze waje kuagiza kwako pia, uko serious mkuu...?
Kila la heri...!
Kama promo unafanya usingemuomba Mwl. RCT awaelekeze wateja wake kwako. Mpaka unaomba it means huna advertisement unayoifanya ya hiyo site yako.Mkuu naomba unitag huo uzi ndio nausikia leo.
Mimi na office Japan Tanzanzia SouthAfrica Johannesburg na Capetown Dubai, promo nafanya ndio maana niko na wewe hapo,sababu ya kukuambia hivyo naona unafanya promo za makampuni mengine ndio maana na mmi nikaomba uniweke kwenye list ya haya makampuni sio kwaubaya.
Habari.Mkuu habari.. nahitaji kitabu chenye namba za rangi za magari ya toyota.. mfano wake nimeweka kwa picha hapaView attachment 2934295
View attachment 2934298
Sawa. Natanguliza shukraniHabari.
Nikifanikiwa kukiona mahala, nitakujulisha. Naendelea kutafuta.
1. Imeandikwa Bei ya manunuzzi , Sawa, Je umeangalia shipping cost ni ngapi? | Chakufanya add kwenye cart kisha angalia total inakuja ngapi.Naweza pata hii kwa 87k pisi moja?
Weka screenshot yenye maandishi ya item husika, ambapo naweza search na kupata huyo seller husika.Mkuu naitaka hii , uzito ni 0.12kg , kwa ndege ni sh? , So jumla naipataje?, Kwa muda ganiView attachment 2949551
Weka screenshot yenye maandishi ya item husika, ambapo naweza search na kupata huyo seller husika.