Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Naona facebook ipo down. Nahitaji Berhinger au Steinberg audio interface kama ya 50 usd.
1709698157280.png
 
Mkuu habari, nahitaj mashine ya kukandia unga wa ngano ya kg 12 au kg 8 waweza niagizia china kwa garama Gani hadi kunifikia geita?
 
Mzee fuata ushauri uliopewa na wadau kwenye ule Uzi uliofungua na sio kudandia nyuzi za watu ndugu.

Weka friendly UI
Fungua ofisi hapa nchini
Kuwa na partnership na watu
Fanya promo ya bidhaa/website yako
Hiyo site isichagulie watu majina ya kutumia

Na maelekezo mengi tu waliyokupa wadau utasonga mbele kuliko hivi unavyofanya ni kama kutapa tapa aisee. Unamwambia mfanyabiashara mwenzako ETI WAELEKEZE WATEJA WAKO WAJE KUAGIZA KWETU PIA. Like serious...? Mwl. RCT anawaagizia watu bidhaa kutoka na unaona mpaka amefikia hapo sio zoezi la siku moja tu, sasa leo hii unamwambia awaache wateja wake na awaelekeze waje kuagiza kwako pia, uko serious mkuu...?

Kila la heri...!
Mkuu naomba unitag huo uzi ndio nausikia leo.

Mimi na office Japan Tanzanzia SouthAfrica Johannesburg na Capetown Dubai, promo nafanya ndio maana niko na wewe hapo,sababu ya kukuambia hivyo naona unafanya promo za makampuni mengine ndio maana na mmi nikaomba uniweke kwenye list ya haya makampuni sio kwaubaya.
 
Mkuu naomba unitag huo uzi ndio nausikia leo.

Mimi na office Japan Tanzanzia SouthAfrica Johannesburg na Capetown Dubai, promo nafanya ndio maana niko na wewe hapo,sababu ya kukuambia hivyo naona unafanya promo za makampuni mengine ndio maana na mmi nikaomba uniweke kwenye list ya haya makampuni sio kwaubaya.
Kama promo unafanya usingemuomba Mwl. RCT awaelekeze wateja wake kwako. Mpaka unaomba it means huna advertisement unayoifanya ya hiyo site yako.

Na juzi uliingia kwenye Uzi wa Teacher ukaanza eti Ooooh wewe Mwl. RCT sikuelewi na blah blah kibao, mambo hayaendi hivyo mzee.
 
Naweza pata hii kwa 87k pisi moja?
1. Imeandikwa Bei ya manunuzzi , Sawa, Je umeangalia shipping cost ni ngapi? | Chakufanya add kwenye cart kisha angalia total inakuja ngapi.

2. Apps zinatumia rate za google | Ni makadilio kwa TZS, ila ghalama halisi itatokna na rate ya USD utakayopewa, huwa iko juu kiasi | Baadhi ya update hapa: Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa , Ila kwa sasa rate inafika hadi USD 1 = 2,800

3. Ongeza handling charges za huduma | Angalia post number 1 kwenye hii thread. Kisha fanya hesabu na karibu kwa huduma ya manunuzi.

Hitimisho: Hauwezi kupata kwa 87,000.
 
Back
Top Bottom