Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu naomba niangalizie mpaka kushika mkononi sh ngap
 
Mkuu naomba niangalizie mpaka kushika mkononi sh ngap

Kuna taarifa nasubiria toka kwa seller, ili kuweza kukupa gharama husika.
  • Ukubwa wa package katika CBM
  • Shipping cost toka kwa seller hadi china port | kabla ya kuja Tz.
Akijibu nitakujulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…