Hatua ya kwanza: NIPE LINK YA ITEM HUSIKANaomba bei mpaka naipata mkonon ni tsh ngapi,mazabodi ya Mac book pro core i7
Hill suala la kutaka mwalimu afungue ofisi naona linajirudia sana kwenye huu Uzi,jamani hii ni biashara ya mtandao ofisi ya nini??hata yeye hivyo vitu tunavyomuagiza anavinunua akiwa na wala hajaenda huko na wala ofisi zao hazitambui.Jambo la msingi kwenye biashara hii ni uaminifu jambo ambalo Mwalimu amelionyesha na kama ni alama za mrejesho chanya yeye anazo 99.9%.Ahsanteni.[emoji120] [emoji122] [emoji122] Nashkuru mzigo wangu umefika salama na pump zote ziko in good condition. Looking forward to doing big time business together in the near future man.
Nakupongeza pia ulifanyia kazi suala la ofisi, inaongeza confidence kwa wateja.
Strength yako kubwa upo kwenye Quick response
Hapo nimekuelewa boss, ila size yng hapo naona nashindwa kuitambua, mf sura km ya alikiba ni size ipi kati ya hizo inawexa fit bila kubana?Utangulizi
- Amazon: Ni miongoni mwa masoko KUNDI B,(rejea post namba moja)
- Kwa soko kundi B - waweza kununua bidhaa kwa $8.23 ,
View attachment 596657
Na bidhaa hiyo hiyo inasafirisha kuja Tanzania kwa $22
Hivyo kufanya ghalama yote kuwa $30.23
Mchanganuo wa Ghalama zako
View attachment 596658
1. Manunuzi na kuufikisha item ofisini (NY - USA ) ni $17.92
2. Ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania ( NY - TZS ) ni $22
3. Jumla ni $39.92 ( amazon exchange rate ni $1 = TZS 2360 )
Hivi ndio nilivyopata hesabu hapo juu
Karibu
Napatikana DSMJe, kama mtu anahitaji kuja ofisini kwenu moja kwa moja Mnapatikana wapi?
Hebu niambie hii kitu itanigharimu shingapi mpaka Mkononi.Karibu
Tunza hii link ukiifungua inakuleta kwenye hii threadCode:http://v.ht/buy4me
Uko sahihi mkuu, ila somewhere somehow physical address ni mihimu. Mfano kuna kampuni inataka kumtumia kama wakala wao ambapo itahitajika hadi kusaini mikataba n.k. unadhan itawezekana bila kuwa na ofisi. Kwa hivi vi-item vidogo vidogo havina shida ila kwa deal kubwa kubwa inatakiwa ofisi. Of course ameona umuhim wake ndo maana amefungua ofisi. Wapo wanaoamini bila kuona na wengine ni matomaso mpaka waone na kushika hivyo yeye kama mjasiriamali ni vyema kuwashawishi wote haoHill suala la kutaka mwalimu afungue ofisi naona linajirudia sana kwenye huu Uzi,jamani hii ni biashara ya mtandao ofisi ya nini??hata yeye hivyo vitu tunavyomuagiza anavinunua akiwa na wala hajaenda huko na wala ofisi zao hazitambui.Jambo la msingi kwenye biashara hii ni uaminifu jambo ambalo Mwalimu amelionyesha na kama ni alama za mrejesho chanya yeye anazo 99.9%.Ahsanteni.
Yuko tofauti sana na kijana wa kawaida wa kibongoHuyu jamaa ni mmoja kati ya trustworthy members wa JF.
Ni kweli ametengeza jina kwa uaminifu na umakini.Yuko tofauti sana na kijana wa kawaida wa kibongo
Apple MacBook Pro 13 Laptop 2010 4GB 13.3" Screen | eBayApple MacBook Pro 13 Laptop 2010 4GB 13.3" Screen
Pre-Owned · 2010 · MacBook Pro · 13.3in.
$22.5016 bids · Time left6d 3h+$28.20 shipping
Mkuu Mwl hiyo kitu had I mkononi shi ngapi kiongozi???
Inatakiwa uingie kwenye huo mnada na ushinde.Apple MacBook Pro 13 Laptop 2010 4GB 13.3" Screen
Pre-Owned · 2010 · MacBook Pro · 13.3in.
$22.5016 bids · Time left6d 3h+$28.20 shipping
Mkuu Mwl hiyo kitu had I mkononi shi ngapi kiongozi???