Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Naomba bei mpaka naipata mkonon ni tsh ngapi,mazabodi ya Mac book pro core i7
Hatua ya kwanza: NIPE LINK YA ITEM HUSIKA

Hatua ya pili: NITAKUPA GHALAMA KWA TZS

Hatua ya Tatu: UTAFANYA MALIPO

Hatua ya Nne: MANUNUZI YATAFANYIKA NA UTHIBITISHO UNAPEWA

Hatua ya Tano: Ni kusubiri mzigo ufike TZ

Hatua ya Sita:
- Utapewa taarifa baada ya mzigo kufika - kwa kupigiwa simu
- Utafanyika utaratibu wa wewe kuja kuchukua DSM au kutumiwa kwa EMS kama upo nje ya DAR
- NB: Iwapo mamlaka husika itaushikiria mzigo wako na kutakiwa kulipia KODI / VAT utapewa taarifa, UWE TAYARI KULIPIA kodi/ vat.

KARIBU
 
[emoji120] [emoji122] [emoji122] Nashkuru mzigo wangu umefika salama na pump zote ziko in good condition. Looking forward to doing big time business together in the near future man.

Nakupongeza pia ulifanyia kazi suala la ofisi, inaongeza confidence kwa wateja.

Strength yako kubwa upo kwenye Quick response
Hill suala la kutaka mwalimu afungue ofisi naona linajirudia sana kwenye huu Uzi,jamani hii ni biashara ya mtandao ofisi ya nini??hata yeye hivyo vitu tunavyomuagiza anavinunua akiwa na wala hajaenda huko na wala ofisi zao hazitambui.Jambo la msingi kwenye biashara hii ni uaminifu jambo ambalo Mwalimu amelionyesha na kama ni alama za mrejesho chanya yeye anazo 99.9%.Ahsanteni.
 
Utangulizi
- Amazon: Ni miongoni mwa masoko KUNDI B,(rejea post namba moja)
- Kwa soko kundi B - waweza kununua bidhaa kwa $8.23 ,
View attachment 596657
Na bidhaa hiyo hiyo inasafirisha kuja Tanzania kwa $22
Hivyo kufanya ghalama yote kuwa $30.23

Mchanganuo wa Ghalama zako

View attachment 596658
1. Manunuzi na kuufikisha item ofisini (NY - USA ) ni $17.92
2. Ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania ( NY - TZS ) ni $22
3. Jumla ni $39.92 ( amazon exchange rate ni $1 = TZS 2360 )

Hivi ndio nilivyopata hesabu hapo juu

Karibu
Hapo nimekuelewa boss, ila size yng hapo naona nashindwa kuitambua, mf sura km ya alikiba ni size ipi kati ya hizo inawexa fit bila kubana?
 
Hapo nimekuelewa boss, ila size yng hapo naona nashindwa kuitambua, mf sura km ya alikiba ni size ipi kati ya hizo inawexa fit bila kubana?
Chukua medium size +0.05
upload_2017-9-27_15-25-43.png
 
Mwl RCT ubarikiwe sana,jana nilipokea package yangu ikiwa salama bila usumbufu wowote. Wakati nakutumia pesa sikuwa na uhakika kama jambo nalofanya ni sahihi au coz kumtumia mtu pesa ambaye hujawahi hata kumuona ni jambo zito haswa ukizingatia zama hizi za Uncle Magu hela ilivyo ngumu bt thanks umeniprove wrong. Keep it up.
 
Shukran sana kwa urahisi ulio tupatia watanzani katika kuagiza bidhaa nnje ya Nchi.
Je, kama mtu anahitaji kuja ofisini kwenu moja kwa moja Mnapatikana wapi?
 
Je, kama mtu anahitaji kuja ofisini kwenu moja kwa moja Mnapatikana wapi?
Napatikana DSM

Ofisini ni kwa ajiri ya kuchukua package tu, ambazo zimefika.

Kwa mazungumzo au kuweka order au kufanya malipo tumia maelekezo kwenye post ya kwanza.

Karibu
 
Mwl. RCT mimi nahitaji laptop mack book yenye capacity isiyo kubwa sana wala ndogo sana na size iwe ya kati siyo ndogo wala kubwa, nisaidie na bei pia iwe nzuri. Nisaidie Mwl.
 
Mwl. RCT mimi nahitaji laptop mack book yenye capacity isiyo kubwa sana wala ndogo sana na size iwe ya kati siyo ndogo wala kubwa, nisaidie na bei pia iwe nzuri. Nisaidie Mwl.
angalia EBAY .COM
 
Asante sana Mwl. Mimi si mtaalamu sana wa IT na ushauri wako ungenifaa pia. Lakini nitaangalia.
 
Hill suala la kutaka mwalimu afungue ofisi naona linajirudia sana kwenye huu Uzi,jamani hii ni biashara ya mtandao ofisi ya nini??hata yeye hivyo vitu tunavyomuagiza anavinunua akiwa na wala hajaenda huko na wala ofisi zao hazitambui.Jambo la msingi kwenye biashara hii ni uaminifu jambo ambalo Mwalimu amelionyesha na kama ni alama za mrejesho chanya yeye anazo 99.9%.Ahsanteni.
Uko sahihi mkuu, ila somewhere somehow physical address ni mihimu. Mfano kuna kampuni inataka kumtumia kama wakala wao ambapo itahitajika hadi kusaini mikataba n.k. unadhan itawezekana bila kuwa na ofisi. Kwa hivi vi-item vidogo vidogo havina shida ila kwa deal kubwa kubwa inatakiwa ofisi. Of course ameona umuhim wake ndo maana amefungua ofisi. Wapo wanaoamini bila kuona na wengine ni matomaso mpaka waone na kushika hivyo yeye kama mjasiriamali ni vyema kuwashawishi wote hao
 
Apple MacBook Pro 13 Laptop 2010 4GB 13.3" Screen
Pre-Owned · 2010 · MacBook Pro · 13.3in.
$22.5016 bids · Time left6d 3h+$28.20 shipping

Mkuu Mwl hiyo kitu had I mkononi shi ngapi kiongozi???
 
Apple MacBook Pro 13 Laptop 2010 4GB 13.3" Screen
Pre-Owned · 2010 · MacBook Pro · 13.3in.
$22.5016 bids · Time left6d 3h+$28.20 shipping

Mkuu Mwl hiyo kitu had I mkononi shi ngapi kiongozi???
Inatakiwa uingie kwenye huo mnada na ushinde.

Ghalama ya kusafirisha laptop huwa sio chini ya dola 70
 
Back
Top Bottom