Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa


Ni moja au hizo tatu zote?
Maana 19.99$ to 125,080 Tzs sijaelewa mkuu
- Kwa bei ya USD 19.99 ni kwa chupa zote tatu(3), Ambapo item itapokelewa NY (Free Shipping) kabla ya kutmwa Tanzania kwa ghalama itokanayo na uzito.
- Kila chupa moja ina ujazo wa 473ml (sawa na uzito wa 0.5kg kwa kila chupa moja) , na kufanya jumla ya uzito wa 1.5kg, ambapo ghalama ya usafirishaji ni USD 43.14
- Rejea ghalama ya usafirishaji hapa chini; kwa MASOKO KUNDI B.

Hivyo jumla ya ghalama (Manunuzi + Kusafirisha) ni USD 63.93 Sawa na TZS 150,874.8

Kiwango tajwa kwenye post ya awali kinamakosa, na kiwango sahihi ni TZS 150,874.8
 
Mkuu mm nikiingia huko kuchagua bidhaa mbn wananiletea kulipia kwa paypal or mastercard na mwisho nafeli sipati wala sigiwi smu
 
Mkuu mm nikiingia huko
Ukiingia kwenye site ipi?
wananiletea kulipia kwa paypal or mastercard na mwisho nafeli sipati wala sigiwi smu
Unachotakiwa kufanya, kulingana na hii thread, ni wewe kunipatia
- Link ya bidhaa unayotaka
- Nitakupa ghalama kwa TZS
- Utalipia kwa utaratibu nitakao kupa.
- Nitakamilisha muamala kwenye site husika
- Na utasubiri mzigo wako ufike nchini

KARIBU
 
mzigo huo mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20180120-001836.png
    27.6 KB · Views: 70
Mkuu Mwl Rct hivi simu za xiaomi huwa zinakuja na accessories zipi?
 
Hiyo bei mkuu nimeshindwa . vip hawa xiasom wanatablet au simu za bei kidog nafuu
Xiaomi bidhaa zao (Tablet na PC) ni aghali sana, ni kama vile ilivyo kwa product za apple.

Isipokuwa simu zao ndio waweza kupata za bei nafuu. Zipo simu za kuanzia dola 130 hadi dola 600. Inategemea na bajeti yako unataka ya thamani ipi.

Wana matoleo mengi ya simu.
 
Mkuu Mwl Rct hivi simu za xiaomi huwa zinakuja na accessories zipi?

Huwa inategemea umechagua bundle ipi wakati wa manunuzi.

Ukichagua official bundle hakuna accessory yeyote.
 

Attachments

  • upload_2018-1-20_0-50-40.png
    18.3 KB · Views: 74
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…