Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #1,321
- Kwa bei ya USD 19.99 ni kwa chupa zote tatu(3), Ambapo item itapokelewa NY (Free Shipping) kabla ya kutmwa Tanzania kwa ghalama itokanayo na uzito.Ni moja au hizo tatu zote?
Maana 19.99$ to 125,080 Tzs sijaelewa mkuu
- Kila chupa moja ina ujazo wa 473ml (sawa na uzito wa 0.5kg kwa kila chupa moja) , na kufanya jumla ya uzito wa 1.5kg, ambapo ghalama ya usafirishaji ni USD 43.14
- Rejea ghalama ya usafirishaji hapa chini; kwa MASOKO KUNDI B.
Hivyo jumla ya ghalama (Manunuzi + Kusafirisha) ni USD 63.93 Sawa na TZS 150,874.8
Kiwango tajwa kwenye post ya awali kinamakosa, na kiwango sahihi ni TZS 150,874.8