Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa USD 127.89 - 157.89


Je, hapo sijui umesimamia bei ipi?
Kwenye hiyo bei hawajaweka shipping cost ambayo ni USD 22, Kumbuka kwa link zote seller hawatumi TZ, hivyo najitegemea upande wa kusafirisha.
 
Hapo nisubiri zishuke mpaka mwezi sijui wa 3
Xiaomi wana matoleo mengi,

Mengine ni ghalama nafuu zaidi.

Jipe muda wa kutafuta link zingine hapo aliexpress

Karibu
 
Mwl nahitaji samsung s6 edge made in uk( british) itaipata vp kutoka amazon
 
Ok

Nilikuwa nahitaji yenye Ram 3GB na ROM 32/16

Coz hizi zenye GB 8 zinajaa haraka mfano Chrome, Gmail, Google Photos Play Store FB, Wanaupdate app zao karibu kila siku

Wanaotumia cryptocurrency App wanaupdate kwahiyo simu inazidiwa sana


Mkuu kwa Bei ya 360K - 370K kwa 3GB RAM na 32ROM afadhali maisha itenda
 
Nilikuwa nahitaji yenye Ram 3GB na ROM 32/16
Mkuu kwa Bei ya 360K - 370K kwa 3GB RAM na 32ROM afadhali maisha itenda
Nimekupata vyema

Kwa hiyo bajeti chukua simu hii:

Xiaomi Redmi Note 5A Prime
- 3GB RAM 32GB ROM
- Snapdragon Octa Core
- 5.5 Inch
- 16.0MP Front Camera

Kiasi utakacholipia ni TZS 357,360 hadi inakufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…