Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

TZS 419,820.4

Je utahitaji rangi ipi??
upload_2018-2-4_18-10-44.png

Kwa USD 127.89 - 157.89

Je, hapo sijui umesimamia bei ipi?
Kwenye hiyo bei hawajaweka shipping cost ambayo ni USD 22, Kumbuka kwa link zote seller hawatumi TZ, hivyo najitegemea upande wa kusafirisha.
 
Ok

Nilikuwa nahitaji yenye Ram 3GB na ROM 32/16

Coz hizi zenye GB 8 zinajaa haraka mfano Chrome, Gmail, Google Photos Play Store FB, Wanaupdate app zao karibu kila siku

Wanaotumia cryptocurrency App wanaupdate kwahiyo simu inazidiwa sana

Mkuu kwa Bei ya 360K - 370K kwa 3GB RAM na 32ROM afadhali maisha itenda
 
Nilikuwa nahitaji yenye Ram 3GB na ROM 32/16
Mkuu kwa Bei ya 360K - 370K kwa 3GB RAM na 32ROM afadhali maisha itenda
Nimekupata vyema

Kwa hiyo bajeti chukua simu hii:

Xiaomi Redmi Note 5A Prime
- 3GB RAM 32GB ROM
- Snapdragon Octa Core
- 5.5 Inch
- 16.0MP Front Camera

Kiasi utakacholipia ni TZS 357,360 hadi inakufikia
 
Back
Top Bottom