Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Noted

Kwenye link husika hakuna kipengele cha kuweza kuchagua aina ya lens
sawa ila niliona ukishuka mpaka chini wameonesha aina mbali mbali za hizo miwani na aina ya vioo... ila shukrani mkuu...

nawezaje kulipa... na baada ya siku ngapi ntaipata toka kwako boss...
 
Mkuu nikiri kuwa sijausoma uzi wako wote kutokana na urefu wake ila nimetokea kukubali na kukuamini......sasa Mimi nilihitaji Iphone6 so nijipange na price ipi pamoja transport expenses????
 
MWL RCT nashukuru nimeupata mzigo wangu salama kabisa.Niliagiza Simu mbili Xiaomi Redmond 5A na Xiaomi redmi 5 plus.Mungu akubari Sana Kaka.
 
Mkuu sijaelewa hapa,,hiki kinafanya kaz km king'amuzi au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…