Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,856
- 814
@mwl jaribu hii pia ingawa gharama yake ni kubwa sana Source Satlink WS-6979 DVB-S2 + DVB-t2 satellite finder meter WS-6979 on m.alibaba.comAngalia link nyingine
Tatizo la hii link ya sasa ni kuwa ghalama ya kusafirishia inazidi ghalama ya manunuzi
View attachment 792145
TZS 679,620@mwl jaribu hii pia ingawa gharama yake ni kubwa sana Source Satlink WS-6979 DVB-S2 + DVB-t2 satellite finder meter WS-6979 on m.alibaba.com
Neno BID hutumika kwa bidhaa zilizo kwenye mnada.Mwl.RCT nini maana ya Bid coz ukiingia ebay ukachagua bidhaa wanaleta current bid au starting bid
Shukran mkuuNeno BID hutumika kwa bidhaa zilizo kwenye mnada.
Ambapo bei huanzia chini (starting Bid), na kupanda kadri dau la mnunuzi linavyopanda,
Hivyo ili ushinde manunuzi inatakiwa uweke dau kubwa zaidi ambapo hakuna mnunuzi mwingine wa kuweza kufikia hiko kiwango ndani ya muda wa muda kwisha.
Utafutapo bidhaa EBAY tafuta zile zenye kipengele cha BUY IT NOW
Mkuu nimekutumia PM naomba tuwasiliane tafadhaliTZS 94,419
Hii ni xiaomi model gani mkuu nataka kuiangalia online nisaidie model yake kwanza
Mkuu nimekutumia link nyingine PMNaomba link husika
Mkuu nimekutumia link nyingine PMNaomba link husika
Sawa mkuu nafanyia kazi ulichonielekeza ntakujulisha soonNimeipitia tayari, sio link sahihi kufanyia manunuzi. Pls check link nyingine.
[HASHTAG]#Mwl[/HASHTAG]1. DC12V G3/4 DN20 2 Way Control Closed Intake Release Water Drain Valve Solenoid | eBay
2. DC12V 2 Way DN20 G3/4'' CR01 Motorized/Electrical Ball Valve Brass for HVAC | eBay
Kiasi gani mpaka kuipata mkononi, kila moja 5 pcs needed
TZS 33,894
TZS 70,209