Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

SURAT CITY India, can you suggest the cheapest means of delivery possible ukanifanyia hiyo kazi ?
- Ghalama hutokanan na uzito wa mzigo.
- Fahamu kwanza uzito wake ni KG ngapi
- Kisha nitakupa ghalama za kuusafirisha hadi dar (Freight cost)
- Then nitakupa anwani yangu ya ofisini iliyopo Maharashtra, na mzigo utaenda kukabidhiwa ofisini Maharashtra ndipo utasafirishwa kuja Dar.

Karibu
 
Mkuu kwenye mi 5plus umechagua bundle gan(add Miband 2 ? au), na kwenye iphone 6 64gb naona bei imetisha mkuu ( au umechagua 6 plus 164gb). Naomba unieleweshe mkuu make niltaka niagize mojawapo kupitia kwako.
Nipe option unazohitaji kwa kila simu.

Pili rate ya app iko chini tofauti na rate ghalama halisi itumikayo.
 
Approximalely kama 40 kg. !
 
Asante kabisa

New Pine Wood Bunk Bed Single Over Double White/Oak/Brown Free Mel Delivery | eBay

Noamba unitazamie hiyo bidhaa mheshimiwa kabisaπŸ˜€πŸ˜€
Hii item iko kwenye mnada

Haiwezekani manunuzi yakafanyika kabla ya kushirki na kushinda mnada.

Pili: Bidhaa zenye uzito mkubwa, ghalkama ya kusafirishia yaweza kuwa mara 4 hadi tano (5) ya ghalama ya manunuzi. Kwa mfano hiki kitanda.

Ushauri: Kwa bidhaa kama hii ni vyema ukanunua hapa hapa nchini

Karibu
 
Approximalely kama 40 kg. !
Kwa usafiri wa ndege, uzito wa kilo 40 ni 1,065.54 USD.

Mzigo ukifika nchini uwe tayari kulipia KODI/ VAT iwapo mamlaka husika itakuhitaji kufanya hivyo.

Karibu
 
asante sana
 
Kwa usafiri wa ndege, uzito wa kilo 40 ni 1,065.54 USD.

Mzigo ukifika nchini uwe tayari kulipia KODI/ VAT iwapo mamlaka husika itakuhitaji kufanya hivyo.

Karibu
Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo ya anga ?
 
Kwa usafiri wa ndege, uzito wa kilo 40 ni 1,065.54 USD.

Mzigo ukifika nchini uwe tayari kulipia KODI/ VAT iwapo mamlaka husika itakuhitaji kufanya hivyo.

Karibu
Gharama za Dubai kwa 115kg zikoje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…