Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu nahitaj dry cleaner machines....zinazohusika zote kukamilisha hii biashara..
 
Mkuu nahitaj dry cleaner machines....zinazohusika zote kukamilisha hii biashara..
- Kwa items zozote unazohitaji kuagiza nje ya nchi.
- Fuata muongozo nilioweka kwenye post no. 1 hapo juu.

Karibu
 
- Manunuzi US $95
- Kusafirisha + My charges US $16

Ref
Code:
 http://www.ebay.com/itm/NEW-HP-PROBOOK-6570B-LAPTOP-NOTEBOOK-MOTHERBOARD-686972-001-686972-501-TESTED-/182032341491/?_ul=HN
naomba kujua gharama hiyo in tsh.
 
Najaribu kuweka link inanisumbua,sasa naomba unipe mnyumbulisho wa kuweza kupata "Shure SE846 earphones" zipo ebay,ili tuweze kufanya biashara..
 
Shukrani kwa ushauri.
Karibu[/Q
Habari

Ni vyema ukarudia tena kusoma hii thread na kutambua dhima/lengo kamili.

Soma japo kipengele cha UTANGULIZI

Angalizo: Kwenye hii thread hakuna bidhaa ninayouza.

Karibu
Nahitaji gearbox ya mercedes benz 270ml five speed diesel nitapaya wapi? huko mitandaoni naona wanazugazuga tuuuuu
 
Habari ndugu Ferrenga
Najaribu kuweka link inanisumbua,sasa naomba unipe mnyumbulisho wa kuweza kupata "Shure SE846 earphones" zipo ebay,ili tuweze kufanya biashara..
Ni kweli zipo ebay

Click spoiler
Zina features tofauti tofauti
upload_2017-5-2_5-52-7.png

Je ni yenye features zipi unahitaji?

Chagua link hapa
 
Ndugu salimkabora Ahsante kwa kuwasiliana ami kupitia thread hii.
Nahitaji gearbox ya mercedes benz 270ml five speed diesel nitapata wapi? huko mitandaoni naona wanazugazuga tuuuu
Nipe muda nifanye utafiti juu ya hili hitaji, na nitakujuli.

Karibu
 
noise cancellation,
upload_2017-5-2_17-44-28.png

Kwenye search results ziko mbili tu,

Moja kutoka USA na yapili kutoka Australia

Ya USA itawahi kufika ndani ya siku 7 - 9
upload_2017-5-2_17-47-10.png

Ambapo
- Manunuzi + kusafirisha = TZS 2,171,559.98
extra base..
- Ziko nne (4) Link click spoiler
upload_2017-5-2_17-52-21.png

- Manunuzi US $963.99 sawa na TZS 2,239,348.77

JE CHAGUO LAKO NI LIPI KATI YA HIZI OPTION MBILI (features)

1. noise cancellation
&
2. extra base

KARIBU
 
View attachment 503786

Kwenye search results ziko mbili tu,

Moja kutoka USA na yapili kutoka Australia

Ya USA itawahi kufika ndani ya siku 7 - 9
View attachment 503787
Ambapo
- Manunuzi + kusafirisha = TZS 2,171.98

- Ziko nne (4) Link click spoiler View attachment 503788
- Manunuzi US $963.99 sawa na TZS 2,239,348.77

JE CHAGUO LAKO NI LIPI KATI YA HIZI OPTION MBILI (features)

1. noise cancellation
&
2. extra base

KARIBU
Noise cancellation,.
 
Noise cancellation,.
- Manunuzi + kusafirisha = TZS 2,171,559.98
- My charges US $15 sawa na TZS 34,845
- Jumla ya fedha yote unayoakiwa kulipa ni TZS 2,206,404.98
upload_2017-5-2_18-17-46.png

JE UTATUMIA NJIA IPI YA MALIPO KATI YA HIZO MBILI?
 
Back
Top Bottom