Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nitafuta simu ya moto z ndugu
FB_IMG_1493452980920.jpg
 
- Manunuzi + kusafirisha = TZS 2,171,559.98
- My charges US $15 sawa na TZS 34,845
- Jumla ya fedha yote unayoakiwa kulipa ni TZS 2,206,404.98
View attachment 503800
JE UTATUMIA NJIA IPI YA MALIPO KATI YA HIZO MBILI?
Kaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd unapokea maana garama zako za kumfanyia mtu ni ndogo ila exchange rate hapo ndio tatizo langu kwa mfano hapo umetumia usd 1= tsh 2323 hii iko sawa kweli
 
Kaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd unapokea maana garama zako za kumfanyia mtu ni ndogo ila exchange rate
upload_2017-5-6_18-24-15.png

Ni kweli online exchange rate iko juu.

Tofauti na exchange rate ya benki au katika Bureau de change.

Nalitambua hili tatizo.
Kaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd
Moja: Napokea USD iwapo tu tutafikia muafaka juu ya exchange rate ipi itumike.

Pili: Nilifungua account ya USD hapa TZ, lengo ikiwa ni ku_solve hili tatizo ila haikuwa na msaada.

Ila kwa sasa paypal exchange rate ndiyo itumikayo kwa manunuzi yote

KARIBU
 
Kaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd unapokea maana garama zako za kumfanyia mtu ni ndogo ila exchange rate hapo ndio tatizo langu kwa mfano hapo umetumia usd 1= tsh 2323 hii iko sawa kweli
Kwa mfano ununua bidhaa online kwa kutumia visa,master card au kadi nynge exchange rate inakua ni ya katikati namaanisha hakuna buying wala seling kwa mfano wa nmb buying ni 2157 na seling ni 2277 kwa dola sasa kwa online rate ya ktikati inakua 2215 ivyo ukizidisha na 934.99 ni 2,071,003 iyo inabaki laki ya ziada kwenye 2,171,556 sasa hata nikienda benk nikanunua usd kwa 2277 nitawapa 2,128,973 bado napaki na kama 50000 juu hivyo ndio maana nikakuuliza unapokea usd
Screenshot_20170506-182025.png
 
nmb buying ni 2157 na seling ni 2277 kwa dola sasa kwa online rate ya ktikati inakua 2215 ivyo ukizidisha na 934.99 ni 2,071,003 iyo inabaki laki ya ziada kwenye 2,171,556 sasa hata nikienda benk nikanunua usd kwa 2277 nitawapa 2,128,973 bado napaki na kama 50000 juu hivyo ndio maana nikakuuliza unapokea
Nimekuelewa vyema
- Hili lingewezekana iwapo Tu ningekuwa situmii mifumo salama ya kufanikisha malipo mtandaoni
- Ninapozungumzia mifumo salama ya manunuzi ni kama PAYPAL, ALIPAY, AMAZON PAY etl
- Ni risk sana kutumia kadi ya benki direct kufanya manunuzi, na haishauriwi kabisa.
- Hivyo kwa sasa haiwezekani kwangu kutumia BANK EXCHANGE RATE, ili nipokee malipo kwa USD - Hadi hapo kadi maalum ya USD itakapo kuwa tayari kwa matumizi.

KARIBU
 
I want this phone too. Mwenye info please share
Je ni simu ipi unahitaji?
Iwe na rom size ya GB ngapi?

Tafuta kwenye hii mitandao
- ALIEXPRESSS
- EBAY
Kisha nipatie link husika

KARIBU
 
Nimekuelewa vyema
- Hili lingewezekana iwapo Tu ningekuwa situmii mifumo salama ya kufanikisha malipo mtandaoni
- Ninapozungumzia mifumo salama ya manunuzi ni kama PAYPAL, ALIPAY, AMAZON PAY etl
- Ni risk sana kutumia kadi ya benki direct kufanya manunuzi, na haishauriwi kabisa.
- Hivyo kwa sasa haiwezekani kwangu kutumia BANK EXCHANGE RATE, ili nipokee malipo kwa USD - Hadi hapo kadi maalum ya USD itakapo kuwa tayari kwa matumizi.

KARIBU
Ok iko vizuri sana kwenye kuelezea nazani nimekuelewa pia
 
In Stock! IVARGO V210101 Mobile Phone 3G RAM 32G ROM Snapdragon 615 Octa Core 5.0" 1920x1080 NFC Fingerprint 4G Hifi Smartphone.
Nahitaj simu hii Mwl
 
Je ni simu ipi unahitaji?
Iwe na rom size ya GB ngapi?

Tafuta kwenye hii mitandao
- ALIEXPRESSS
- EBAY
Kisha nipatie link husika

KARIBU
Samsung galaxy C9 inapatikana kwa bei gani mkuu?
 
In Stock! IVARGO V210101 Mobile Phone 3G RAM 32G ROM Snapdragon 615 Octa Core 5.0" 1920x1080 NFC Fingerprint 4G Hifi Smartphone.
Nahitaj simu hii Mwl
Itakuw vyema ukanipa link mkuu
 
Nimekuja kutoa shukrani kwa mwl.rct na ushuhuda wangu. mzigo wangu ulifika salama from china,. Ndani ya muda wa wiki mbili na nusu mpaka mbeya.

Mawasiliani yalikua vizuri, na nlipata updates kila mara nilipohitaji.

Kwa kifupi mwl ni mwaminifu kabisa katika hii issue. Asanteni.
 
Back
Top Bottom