Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 218
16GB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
16GB
Zinapatikana, Chagua mojawapo HAPA kisha nipe link yake.Nitafuta simu ya moto z nduguView attachment 505253
Kaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd unapokea maana garama zako za kumfanyia mtu ni ndogo ila exchange rate hapo ndio tatizo langu kwa mfano hapo umetumia usd 1= tsh 2323 hii iko sawa kweli- Manunuzi + kusafirisha = TZS 2,171,559.98
- My charges US $15 sawa na TZS 34,845
- Jumla ya fedha yote unayoakiwa kulipa ni TZS 2,206,404.98
View attachment 503800
JE UTATUMIA NJIA IPI YA MALIPO KATI YA HIZO MBILI?
Kaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd unapokea maana garama zako za kumfanyia mtu ni ndogo ila exchange rate
Moja: Napokea USD iwapo tu tutafikia muafaka juu ya exchange rate ipi itumike.Kaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd
Kwa mfano ununua bidhaa online kwa kutumia visa,master card au kadi nynge exchange rate inakua ni ya katikati namaanisha hakuna buying wala seling kwa mfano wa nmb buying ni 2157 na seling ni 2277 kwa dola sasa kwa online rate ya ktikati inakua 2215 ivyo ukizidisha na 934.99 ni 2,071,003 iyo inabaki laki ya ziada kwenye 2,171,556 sasa hata nikienda benk nikanunua usd kwa 2277 nitawapa 2,128,973 bado napaki na kama 50000 juu hivyo ndio maana nikakuuliza unapokea usdKaka kama kuna mtu anataka kukulipa kwa usd unapokea maana garama zako za kumfanyia mtu ni ndogo ila exchange rate hapo ndio tatizo langu kwa mfano hapo umetumia usd 1= tsh 2323 hii iko sawa kweli
I want this phone too. Mwenye info please shareMkuu lenovo vibe p2 mpaka inafika mkononi kwangu itagharimu sh ngap
Nimekuelewa vyemanmb buying ni 2157 na seling ni 2277 kwa dola sasa kwa online rate ya ktikati inakua 2215 ivyo ukizidisha na 934.99 ni 2,071,003 iyo inabaki laki ya ziada kwenye 2,171,556 sasa hata nikienda benk nikanunua usd kwa 2277 nitawapa 2,128,973 bado napaki na kama 50000 juu hivyo ndio maana nikakuuliza unapokea
Ok iko vizuri sana kwenye kuelezea nazani nimekuelewa piaNimekuelewa vyema
- Hili lingewezekana iwapo Tu ningekuwa situmii mifumo salama ya kufanikisha malipo mtandaoni
- Ninapozungumzia mifumo salama ya manunuzi ni kama PAYPAL, ALIPAY, AMAZON PAY etl
- Ni risk sana kutumia kadi ya benki direct kufanya manunuzi, na haishauriwi kabisa.
- Hivyo kwa sasa haiwezekani kwangu kutumia BANK EXCHANGE RATE, ili nipokee malipo kwa USD - Hadi hapo kadi maalum ya USD itakapo kuwa tayari kwa matumizi.
KARIBU
Samsung galaxy C9 inapatikana kwa bei gani mkuu?Je ni simu ipi unahitaji?
Iwe na rom size ya GB ngapi?
Tafuta kwenye hii mitandao
- ALIEXPRESSS
- EBAY
Kisha nipatie link husika
KARIBU