Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

mkuu nimejaribu kuangalia hyo site inanipa warning ya malicious..vip haina shida nikiingia?..kwa usalama wa simu?. oppo nnayohitaj ni R9s plus
 
oppo nnayohitaj ni R9s plus
upload_2017-5-9_20-36-24.png


upload_2017-5-9_20-37-37.png


Utalipia TZS 1,261,389

Oppo R9s Plus
- ROM 6GB
- RAM 64GB
- 6.0 inch Screen
- 4000mAh 16.0MP
- Camera 4G LTE Smartphone
Code:
 https://www.aliexpress.com/item/Original-Oppo-R9s-Plus-Cell-phone-MSM8976-Pro-Octa-Core-ROM-4GB-RAM-64GB-6-0/32810207844.html
 
Cjapata majibu mkuu
upload_2017-5-9_21-19-28.png

2017 - Nokia 6 Android 7 LTE Smart Phone

4GB RAM 64GB ROM - TZS 737,320.2

4GB RAM 32GB ROM - TZS 665,748.57

Utapokea mzigo ndani ya wiki 2
Code:
https://www.aliexpress.com/item/2017-New-Original-Nokia-6-Android-7-LTE-Smart-Phone-4G-RAM-64G-ROM-Octa-Core/32790223104.html?s=p
KARIBU
 
Nahitaji kuagiza bidhaa kutoka India utaratibu ukoje
 
Mkuu nahitaji kuagiza mashine flani kutoka ujerumani. Nipe mwongozo tafadhali Mwl.RCT
 
Mimi nataka kufanya biashara ya vipodozi na products zote za nywele za kike, je napataje kwa bei za jumla kwa Dubai? nimejaribu ku google lakini sipati za dubai nyingi zinakuja za amazon.
Asante
 
Mkuu nahitaji kuagiza mashine flani kutoka ujerumani. Nipe mwongozo tafadhali Mwl.RCT
1. Nipatie link ya mashine husika.
2. Nitaipitia link na kukujulisha ghalama za manunuzi na kusafirisha.
3. Utafanya malipo kwa utaratibu nilioweka kwenye post no. 1
4. Mzigo utanunuliwa. safirishwa na kufika hapa TZ
5. Utatakiwa kulipia Kodi - kulingana na hesabu itakayotolewa na mamlaka husika

KARIBU
 
upload_2017-5-12_17-15-7.png


Ni maoni ya mdau aliyetumia huduma ya BUY4ME dakika chache zilizopita

My take:
- Ahsante sana mdau.
- Naomba ujiunge JF, badala ya kuwa msomaji tu.
 
Back
Top Bottom