Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

TZS 17,632.5

Angalizo: FREE economy huchukkua muda mrefu sana kwa mzigo kufika

upload_2017-7-20_19-6-7.png
 
mkuu mbona kusafirisha inakaribiana na bei ya bidhaa
Ghalama ya kusafirisha hutokana na uzito wa item husika. Rejea maelezo kuhusu SOKO KUNDI B, kwenye post yangu namba 1.

Note hiki kitu kuhusu AMAZON, masoko kundi B kwa ujumla wake.

1. Waweza kunua amazon item kwa USD 3 tu

2. Item hiyo hiyo ya USD 3 itasafirishwa kuja Tanzania kwa USD 21 - iwapo uzito wake ni chini ya gram 500, na item hiyo hiyo ya dola 3 itasafirishwa kwa USD 33.14 -iwapo uzito wake unazigi gramu 500

3. Hivyo ghalama yakusafirishia hutokana na UZITO wa mzigo

4. Hivyo yawezakana kabisa ghalama ya kusafirishia ikakaribia au ikazidi ghalama ya manunuzi.

NB: Items zote zenye uzito mkubwa wauzaji huwa hawatumi nje ya nchi zao ili kuepuka ghalama hizi kubwa za kusafirishia.
 
Note hiki kitu kuhusu AMAZON, masoko kundi B kwa ujumla.

1. Waweza kunua amazon item kwa USD 3 tu

2. Item hiyo hiyo ya USD 3 itasafirishwa kuja Tanzania kwa USD 21 - iwapo uzito wake ni chini ya gram 500, na item hiyo hiyo ya dola 3 itasafirishwa kwa USD 33.14 -iwapo uzito wake unazigi gramu 500

3. Hivyo ghalama yakusafirishia hutokana na UZITO wa mzigo

4. Hivyo yawezakana kabisa ghalama ya kusafirishia ikazidi ghalama ya manunuzi.

NB: Items zote zenye uzito mkubwa wauzaji huwa hawatumi nje ya nchi zao ili kuepuka ghalama hizi kubwa za kusafirishia.
Mfano hiyo ina kilo ngapi ulivoangalia.
So labda nitafute ambayo ni free shiping

Sent from my head using brain
 
Je unaweza kununua kitu na kupewa tracking number, na wakati unatrack usione details, NB Nimenunua kitu kisichokuwa na shipping cost
 
Code:
 >>https://www.amazon.co.uk/gp/cart/view.html/ref=lh_cart<<
Bei gani?
 
Nashukuru sana Mwl RCT nimepokea mzingo wa epson catirage ambapo hapa nchi Tz hazipatikani, kwa muda mfupi sana sikutegemea , mimi binafsi niliamua kujitoa mhanga kama kupoteza hela zangu nilikubali matokeo kupata au kukosa lakini huyu ndugu sikuonana naye lakini nimepokea
Kwa hiyo ndugu zangu mtumieni Mwl.RCT kuagiza bidhaa yoyote kutoka taifa lolote utaipa bila shida kabisa
Ushauri wangu boresheni mtulete mizigo yetu pale tulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unaweza kununua kitu na kupewa tracking number, na wakati unatrack usione details, NB Nimenunua kitu kisichokuwa na shipping cost
Ndio huwa inatokea, Hasa kwa seller wa EBAY.

Ni vyema kuepuka FREE SHIPPING hiyo ni moja ya hasara zake. Ni bora ulipie japo USD 2, ili upate njia ya usafirishaji yenye Tracking number.
 
Code:
 >>https://www.amazon.co.uk/gp/cart/view.html/ref=lh_cart<<
Bei gani?
Habari
upload_2017-8-3_16-41-25.png

Nipatie link ya item husika kabla ya kuiweka kwenye shopping cart

Nikitumia link uliyonipatia inafunguka shopping Cart yakwangu
 
Back
Top Bottom