Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari
View attachment 557151
Nipatie link ya item husika kabla ya kuiweka kwenye shopping cart

Nikitumia link uliyonipatia inafunguka shopping Cart yakwangu
nataka used
Code:
https://www.amazon.co.uk/Calculations-Level-Chemistry-Fourth-Level/dp/0748758399/ref=pd_cp_14_1?_encoding=UTF8&psc=1&refRID=E1KAZV7JGNBA11WMFZZG
 
nataka used
Code:
https://www.amazon.co.uk/Calculations-Level-Chemistry-Fourth-Level/dp/0748758399/ref=pd_cp_14_1?_encoding=UTF8&psc=1&refRID=E1KAZV7JGNBA11WMFZZG
Manunuzi na kusafirisha ni 72,647.63 Tanzanian Shilling

Utapokea hiki ktabu next week.
 
Wazo zuri mkuu.

Ila Napendekeza Telegram Group
  • Huwa inachukua members wengi zaidi.
  • Kila member mpya akijiunga, anaweza kupitia posting za nyuma.
  • Telegram ina sifa nyingi zaidi ukilinganisha na Whatsapp.
tunakushukuru sana kuzingatia maoni ya wadau hivyo basi usisite kuweka link ya telegram mwanzoni mwa hii thread yako na hapa ukurasa ulipo ili iwe rahisi kila mtu kuamua kujiunga au apate updates hapa hapa. ubarikiwe Mwl. RCT
 
Waweza kunitumoa no yako hapa au inbox au kwa no hii nikuunge 0754827198

Sent using Jamii Forums mobile app
upload_2017-8-11_16-52-41.png

Tumia moja kati ya hizo namba
 
Waweza kunitumoa no yako hapa au inbox au kwa no hii nikuunge 0754827198

Sent using Jamii Forums mobile app
emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO


Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0768 92 48 41 au 0784 496 856
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 784 496 856
4. Skype: mw1rct

emoji778.png
MUDA WA KUWASILIANA NAMI

1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
 
Back
Top Bottom