Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Msaada jinsi ya kujaza adress aliexpress
Cna box namba ya posta..nataka nipokele mzigo katika posta ya hai kilimanjaro
 
480d6f179d4751565840263abcb3a1da.jpg
 
Iwapo hauna S.L.P ongea na seller kwanza ili akutumie mzigo wako kwa njia ya DHL

Iwapo ghalama ni kubwa kwa DHL, basi waweza kunipa kazi, na nikakufikishia hapa nchini bidhaa husika. Na utatumiwa mzigo wako kwa njia ya basi toka hapa DSM.
Msaada jinsi ya kujaza adress aliexpress
Cna box namba ya posta..nataka nipokele mzigo katika posta ya hai kilimanjaro
 
Iwapo hauna S.L.P ongea na seller kwanza ili akutumie mzigo wako kwa njia ya DHL

Iwapo ghalama ni kubwa kwa DHL, basi waweza kunipa kazi, na nikakufikishia hapa nchini bidhaa husika. Na utatumiwa mzigo wako kwa njia ya basi toka hapa DSM.

Kwahiyo huwezi pata mzigo mpaka ufungue box posta???
 
Elewa kuwa

1. Kuna njia za usafirishaji zaidi ya moja.

2. Baadhi ya njia za usafirishaji ni LAZIMA uwe na sanduku la posta

3. Pia kuna njia zingine za usafirishaji HAZIHITAJI kuwa na sanduku la posta.

Iwapo hauna sanduku la posta, hakikisha unamtaarifu muuzaji akutumie mzigo wako KWA NJIA ISIYOHITAJI SANDUKU LA POSTA, hapo huduma za DHL, ARAMEX, UPS, FEDEX ndio zitahusika.

Karibu
 
Ni vigumu kufahamu ghalama kwa bidhaa toka alibaba bila kwanza kufanya mawasiliano na seller ili kupata taarifa zifuatazo
- Njia ya kusafirishia itakayotumika
- Uzito wa item husika.
upload_2017-9-17_9-30-15.png

Pindi ufanyapo mawasiliano na seller zingatia
- Model number
- Idadi kwa kila item.

Then nijulishe ili kuendelea na taratibu zingine

Karibu
 
Back
Top Bottom