Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2017-9-17_14-56-58.png

Manunuzi Tayari yamefanyika.
Tracking number na taarifa zingine nitakupatia baada ya seller kushughulikia order yetu.
Ahsante
Mkuu umeshaanza mchakato wa kununua/kuagiza hii kitu?[emoji117]Bluedio CS4 Mini Bluetooth speaker Portable Wireless speaker Sound System 3D stereo Music surround
Buy Products Online from China Wholesalers at Aliexpress.com
(from AliExpress Android)
 
Naomba Uniangalizie CI Card ya Samsung SMART TV Model Code UA40F7500 na mpaka ifike mkononi itakuwa shilingi ngapi?.
Skylink Ready IRDETO CI+ CAM modul pre všetky Skylink karty 100% kompatibilita | eBay HABARI ZA SAA HII, naomba garama zote hadi mkononi ni shilingi ngapi
View attachment 579833

Ghalama: TZS 116,141.32

Itachukua: Wiki 3 kufika

Kwa taratibu za malipo: Niandikia PM au Whatsapp 255 784 496 856

hii ipo, Ninayoitaji ni ile inayoingia ndani ya hii, ambayo kwenye izi video zilizojitokeza YouTube inaonekana ikitolewa ndani ya box dogo pamoja na card CI or CI+ Card na nyingine naziona zimeshikwa mkononi ila sijajua kama ni za Samsung.
TUMIA CI TV CARD utaziona
 
Mwl.nimepata dvd player yangu ipo well packed mtu akiiona anaweza kufikiri kuwa nimeinunua duka la hapa jirani!.....Thank you in advance!
 
Kweli kusafirisha huwa inaumiza sana!! Nmeitafta hii kitu dar sjaipata
 
Mwl. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sita shukuru kwa kupata mzigo nilioagiza kwa kupitia wewe..
Mzigo nimeupata ukiwa salama kabisa
Mungu akubariki kwa moyo huo huo wa uaminifu ulionao..
Mwanzo niliogopa sana kutuma zaidi ya usd 300 kwa mtu nisiye mfahamu..
Ukizingatia utapeli hapa jamiiforum kila siku unaota mizizi...
Mimi niliagiza finned Tubular air heater
Mungu akubariki sana mkuu.
 
Ahsante kwa mrejesho

Share na wengine kuhusu JF kwa kuwapa hii link: www.bit.ly/101buy4me

Karibu
 
Mkuu nataka kununua mojawapo ya simu hizi naomba nipe cost ili tufanye biashara
1.xiaomi redmi 4 prime
2.xiaomi redmi note 4
 
Back
Top Bottom