Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu vipi kuhusu vyombo vya usafiri, let say nahitaj gari from Japan. Nayo inawezekana?
 
Habari
Naomba unipatie link ya bidhaa unayohitaji.
Screenshot_2018-01-25-17-19-02.png
 
Mkuu vipi kuhusu vyombo vya usafiri, let say nahitaj gari from Japan. Nayo inawezekana?
Ndio inawezekana mkuu, Ghalama na mchanganuo utatokana na link utakayonipatia.

Gari itanunuliwa, Itafikishwa nchini, Taratibu zote za kuitoa bandari nitasimamia,

Na utasafirishiwa hadi mahala ulipo Iwapo upo mkoani mkoani.

Tumia hizi site kuchagua gari
  • autocj.co .jp
  • beforward .jp
  • sbtjapan .com
 
upload_2018-1-25_18-40-36.png

Uzito wa hii TV: 38 pounds (Sawa na 17.2KG)
- Ghalama ya kusafirisha ni: 440.14 USD
- Manunuzi:369.99 USD
Jumla USD: 810.13USD ( sawa na TZS 1,911,906.8 )

Mzigo unafika ndani ya wiki 3,

NB: Ghalama ya kodi/vat itajulikana baada ya mzigo kufika nchini, Utajulishwa na uwe tayari kulipa kodi/vat

Karibu
 
Ndugu LION CUB

Ahsante kwa kuchagua huduma ya PAY4ME, Manunuzi yamekamilika, Na ndani ya wiki 2 - 3, utapokea mzigo wako.

upload_2018-1-26_17-33-19.png

 
Back
Top Bottom