Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu hivi unaweza kaa part ya kumletea kitu mteja endapo atafanya malipo yeye mwenyewe wewe usimame kwenye usafiri tu hii inawezekana mkuu?
 
Mkuu hivi unaweza kaa part ya kumletea kitu mteja endapo atafanya malipo yeye mwenyewe wewe usimame kwenye usafiri tu hii inawezekana mkuu?
Ndio inawezekana. Je toka nchi gani huo mzigo?

Nipe info zaidi PM au whatsap
 
Wabongo bwana! Bado tu mnataka ofisi wakati mnaagiza online. Ofisi za Alibaba au Amazon mnaendaga?

Mwl RCT ni mjasiriamali wa muda mrefu mitandaoni. Yupo toka enzi za PDProxy (internet ya bure) hadi leo. Ofisi yake ni hilo jina lake alilojenga kwa miaka mingi, sioni sababu ya yeye kuharibu jina.

Kama mnataka awe na ofisi basi mchangieni Tsh. Milioni kumi alipe kodi na kununua samani za ofisi. Au nendeni kwa wenye ofisi kitu cha $10 mkauziwe Tsh. 50,000/-
 
View attachment 690322
Swali: Hii mkuu mimi nikilipa wewe utaniletea kwa kiasi gani?
Jibu: Je utalipa vipi wakati system ya aliexpress haitakuruhusu kulipia hiyo bidhaa? Sababu bidhaa haitumwi Tanzania?

upload_2018-2-4_15-17-23.png


Maelezo

Iwapo nitailipia mimi nina option mbili, kufanikisha manunuzi kwenye hiyo link.
- 1. Mzigo kuupitishia Tsing Yi South ,Kwai Tsing
au
- 2. Niupitishie Shanghai - kabla ya kutuma kuja Tanzania

Kiasi kitakacho ongezeka kwenye hiyo hesabu yako ni USD 33 tu.

Huduma yangu ipo kwa link korofi kama hiyo

Karibu nikupe huduma.
 
Hiyo TV sijui itakuwa ni millions of shillings
TZS 7,400,936.4

Hii ni ghalama ya kununua na kuifikisha Tanzania.

Kodi/vat itajulikana baada ya mzigo kufika nchini

ITachukua muda wa siku 14 hadi 21 kufika Tanzania
upload_2018-2-4_17-46-20.png
upload_2018-2-4_17-47-2.png

upload_2018-2-4_17-48-26.png
 
upload_2018-2-4_17-55-24.png

Iwapo unataka kuchukua mzigo mkubwa, Alibaba ndio site sahihi.

Bei za alibaba ni za kiwandani, Hapo hawajaweka ghalama ya usafirishaji - Hivyo bei iliyo hapo haina uhalisia

Ukitaka kuona ghalama halisia ya hii simu angalia kwenye retail website kama
- ALIEXPRESS
- BANGGOOD
- GEARBEST
- EBAY etl
 

Attachments

  • upload_2018-2-4_17-55-0.png
    upload_2018-2-4_17-55-0.png
    54.9 KB · Views: 70
Back
Top Bottom