Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Ukiingia kwenye site ipi?

Unachotakiwa kufanya, kulingana na hii thread, ni wewe kunipatia
- Link ya bidhaa unayotaka
- Nitakupa ghalama kwa TZS
- Utalipia kwa utaratibu nitakao kupa.
- Nitakamilisha muamala kwenye site husika
- Na utasubiri mzigo wako ufike nchini

KARIBU
Middle man! [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu tsh. ngp mpk arusha
Iko kwenye mnada.
Tafu link nyingine isiwe na neno BID
upload_2018-2-16_20-31-38.png
 
Vip hzo znawezekana kupatikana? Nataka michukue mojawapo
Inawezekana
Ghalama ni kubwa upande wa usafirshaji kutokana na uzito wa mzigo

Mfano kwa link ya kwanza uzito wa mzigo ni 11.5KG ambapo ghalama yake kusafirsha tu ni TZS 357.54 USD (inazidi ghalama ya kununulia) ,
upload_2018-2-17_8-58-31.png

Hapo bado kodi baada ya mzigo kufika nchini.
 
Back
Top Bottom