Kwanza inatakiwa tujifunze nini maana ya Wireless Repeater
Code:
A wireless repeater takes an existing signal from a wireless router or wireless access point and rebroadcasts it to create a second network.
Sijajua km inaweza kuingia line ya Sim
* Hiki kifaa hakitumii laini ya simu.
* Hiki kifaa kinapokea wireless network ambayo ni dhaifu na haifiki mbali, na kuikuza na kuifikisha umbali mkubwa.
*
Mfano: WiFi kutoka kwenye simu yako yaweza isifike ghorofa ya pili kwenye jengo flani, lakini kwa kutumia kifaa kama hiki, waweza fikisha wifi ya simu yako kwenye hiyo ghorofa ya pili au zaidi na ikawa na ufanisi mkubwa