Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

SURAT CITY India, can you suggest the cheapest means of delivery possible ukanifanyia hiyo kazi ?
- Ghalama hutokanan na uzito wa mzigo.
- Fahamu kwanza uzito wake ni KG ngapi
- Kisha nitakupa ghalama za kuusafirisha hadi dar (Freight cost)
- Then nitakupa anwani yangu ya ofisini iliyopo Maharashtra, na mzigo utaenda kukabidhiwa ofisini Maharashtra ndipo utasafirishwa kuja Dar.

Karibu
 
Lens namba 8 ktk hiyo templet boss

s-l500.png

rangi ya frame ni black kama hii
Boss tayari, nimesha lipia...
Habari
Angalia link nyingie ALIEXPRESS, lengo mzigo uwahi kufuka.

Nashukuru Mwl. RCT kwa huduma yako mzigo nimeupa.... umenifikia... Nashukuru sana mungu akubariki

IMG-20180707-WA0007.jpg
IMG-20180707-WA0006.jpg
IMG-20180707-WA0005.jpg
 
Mkuu kwenye mi 5plus umechagua bundle gan(add Miband 2 ? au), na kwenye iphone 6 64gb naona bei imetisha mkuu ( au umechagua 6 plus 164gb). Naomba unieleweshe mkuu make niltaka niagize mojawapo kupitia kwako.
Nipe option unazohitaji kwa kila simu.

Pili rate ya app iko chini tofauti na rate ghalama halisi itumikayo.
 
- Ghalama hutokanan na uzito wa mzigo.
- Fahamu kwanza uzito wake ni KG ngapi
- Kisha nitakupa ghalama za kuusafirisha hadi dar (Freight cost)
- Then nitakupa anwani yangu ya ofisini iliyopo Maharashtra, na mzigo utaenda kukabidhiwa ofisini Maharashtra ndipo utasafirishwa kuja Dar.

Karibu
Approximalely kama 40 kg. !
 
Approximalely kama 40 kg. !
Kwa usafiri wa ndege, uzito wa kilo 40 ni 1,065.54 USD.

Mzigo ukifika nchini uwe tayari kulipia KODI/ VAT iwapo mamlaka husika itakuhitaji kufanya hivyo.

Karibu
 
Hii item iko kwenye mnada
View attachment 806317
Haiwezekani manunuzi yakafanyika kabla ya kushirki na kushinda mnada.

Pili: Bidhaa zenye uzito mkubwa, ghalkama ya kusafirishia yaweza kuwa mara 4 hadi tano (5) ya ghalama ya manunuzi. Kwa mfano hiki kitanda.

Ushauri: Kwa bidhaa kama hii ni vyema ukanunua hapa hapa nchini

Karibu
asante sana
 
Kwa usafiri wa ndege, uzito wa kilo 40 ni 1,065.54 USD.

Mzigo ukifika nchini uwe tayari kulipia KODI/ VAT iwapo mamlaka husika itakuhitaji kufanya hivyo.

Karibu
Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo ya anga ?
 
Kwa usafiri wa ndege, uzito wa kilo 40 ni 1,065.54 USD.

Mzigo ukifika nchini uwe tayari kulipia KODI/ VAT iwapo mamlaka husika itakuhitaji kufanya hivyo.

Karibu
Gharama za Dubai kwa 115kg zikoje ?
 
Back
Top Bottom