Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

free shipping kuja Tz..
1. Ni free shipping ndani ya USA

2. Nje ya USA unajitegemea kwa usafirishaji

3. Ghalama ya kusafirisha inatokana na uzito wa mzigo

4. Mfano: Waweza kukuta USB flash inauzwa kwa US $3, ila kuisafirisha kuja tanzania (Freight cost) ni US $22, Hivuyo kufanya ghalama yote kuwa ni US $25

Mfano hai
1536065193690.png

Pichani cable ndogo ya PC, imenunuliwa kwa US $8 na kusafirishwa kwa US $22
Na tayari imefika nchini.
1536065332872.png

Hapo juu pitia maelezo kuhusu MASOKO KUNDI B
 
Kwa taratibu za malipo, Niandikei whatsapp(ONLY) 0784 496 856

Nimekutumia PM
Salaam kwako na Heshima Kwako Mwl RCT...natafuta kitabu think like a billionaire become a billionaire by scot anderson...
 
Nipatie mawasiliano yako
emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO


Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0768 92 48 41
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp (ONLY): +255 784 496 856

emoji778.png
MUDA WA KUWASILIANA NAMI

1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
 
Back
Top Bottom