HUwezi kununua hadi
1. Muda wa mnada uwe umeisha
2. Dau la wanunuzi lifikie au lizidi kiwango cha juu cha mwisho alichoweka muuzaji.
3. Yaweza kutokea bidder wote hakuna aliyefikia kile kiwango kinachotakiwa hivyo mnada unafungwa pasipo bidhaa kuuzwa, Mfano mzuri ni mnada wa zile KONTENA bandari, hakuna mnunuzi aliyefikia kile kiwango kilichokuwa kimewekwa / kinatakiwa. Hivyo mnada unaahirishwa hadi itakapowekwa tena bidhaa sokoni.
Hutakiwi kuandaa kiasi kilichopo sasa bali inatakiwa uandike dau la juu kuliko kiais unachokiona, hivyo hadi mda wa mnada unapoisha iwapo hakuna aliyefikia kiwango chako ulichoweka na dau uliloweka limefikia kile kiwango cha choni anachohitaji muuzaji, basi ndipo itatakiwa ulipie bidhaa ukiwa kama mshindi wa mnada husika.