Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Pamoja na hii kaka Mkubwa
TZS. 18,836.8

Link ya EBAY hana option ya kutuma Tanzania, Iwapo nitapokea cable Chullora , then kutuma TZ kwa ndege, Gharama itakuwa kubwa zaidi, Ni vyema ukanunua aliexpress.
 
Nashkuru sana mkuu Mwl.RCT mzigo umefika kama nilivyoagiza, Pia nizidi kukusifia kwa REAL TIME CUSTOMER SUPPORT unayotoa muda wowote wa siku, hii ni mara ya 3 nafanya biashara nawe na hakuna siku nimewahi kuwa na hofu. Uzidi kutuhudumia kama hivi zaidi na zaidi, Na Mungu atubariki sote.
IMG-20191024-WA0007.jpeg
IMG-20191024-WA0006.jpeg
IMG-20191024-WA0005.jpeg
IMG-20191024-WA0004.jpeg
IMG-20191024-WA0001.jpeg
IMG-20191024-WA0003.jpeg
 
Back
Top Bottom