Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado majibu yanatafutwa ngoja tuvute subraNitakuwa msomaji wa jibu litakalotolewa na mkuu. Ukipata jibu si mbaya ukani-tag nami.
Shukran.
Bado majibu yanatafutwa ngoja tuvute subra
Waweza nitajia bei zake mkuu shukranNakusahauri chukua MI 9T/k20 au Note 9 lite au Note 8 pro zichambue ni simu kali sana inaendana na hizi Samsung ulizoeweka japo hii Mi max 3 naona ipo juu ya hizo na kama yta afford mi mix 3 basi chukua Mi k20 pro ni Flagship Killer hyo.
Mkuu shukrani sana. Nitakutafuta juu ya hiyo A50 au 70TZS. 834,480
URL: gDJjH
View attachment 1296418
TZS. 939,814.8
URL: PIL1
View attachment 1296421
TZS. 758,840
URL: S0yz
View attachment 1296425
Nitazifanyia kazi. Naona kwa aliexpress seller wanaleta huu ujumbe
View attachment 1296429
Bei ya manunuzi na kufikisha nchini, haiwezi kuzidi. Itabakia kiasi hiko tajwa.
Mzigo ukifika nchini, iwapo utatakiwa kulipia KODI/ VAT itajulikana wakati huo.
TZS. 82,960Sema mwl bei hizo model zote mbili.
![]()
11.51US $ |WiFi Repeater WiFi Extender 2.4G 5G Wireless WiFi Booster Wi Fi Amplifier 5ghz Wi Fi Signal Repeater Wi Fi 1200Mpbs 300Mbps|Wireless Routers| - AliExpress
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Sent using Jamii Forums mobile app
1, DVB-S2(FULL HD 1080P)( Builtin wifi, support H.265, AVS+ )
2 Support PowerVu, DRE &Biss key
3, Support DLNA, SAT To IP
4, Support Unicable
5, Support Satellite EPG
6, Support Built-in WIFI module, Ethernet,Full speed 3G usb dongle,PVR Ready
7, Support WEB TV,IPTV,Youtube,Youporn,Redtube
8,Support Weather forecast,Jamendo,Yahoo news, Picture etc.
Inakidhi mahitaji, ni decoder ya kisasa zaidi.
BEI: TZS. 183,000
MUDA: Wiki 3 kufika nchini
NJIA YA MALIPO: Mobile Benking
Xiaomi Redm Note 8 nitaipata kwa kiasi gani mkuu....!View attachment 1299348
January 2020 wiki ya tatu.