Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

U5f2d0a57042b485ba9bc81755d05eb13v.jpg

Shukran sana Mwl. Nimeupata mzigo wangu ukiwa salama kabisa, God bless you🙏🙏
 
Mwalimu mimi nahitaji simu ya "nokia n86"
Nashindwa kuweka link, nakuomba angalia mtandaoni na uniambie ni bei gani mpaka mimi kuipata.
 
Mwalimu mimi nahitaji simu ya "nokia n86"
Nashindwa kuweka link, nakuomba angalia mtandaoni na uniambie ni bei gani mpaka mimi kuipata.
TZS. 195,000
 
Mwalimu hamna pungufu jaman
Kuna hii link
Code:
 https://www.aliexpress.com/item/32864943887.html?spm=2114.search0302.3.2.6c0ab04cnTRjub&ws_ab_test=searchweb0_0,searchweb201602_0,searchweb201603_0,ppcSwitch_0&algo_pvid=7dc273b6-31bb-4fb6-95cb-e982166abdd0&algo_expid=7dc273b6-31bb-4fb6-95cb-e982166abdd0-0

Bei. TZS. 382,500 [ Estimated Delivery: 31-51 days ]

1586569973033.png
 
Back
Top Bottom