Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

mnasafirisha vitu kutoka US? Nahitaji TV
Ndio

Kutakuwa na awamu Tatu za kulipia

Awamu ya kwanza: Manunuzi na usafirishaji ndani ya USA - Nipe link yake nikupe gharama

Awamu ya Pili: Gharama za kusafirisha toka USA kuja Tanzania - Ambapo uzito wa package ndio utatupatia gharama yake, Rejea hapo juu masoko kundi B

Awamu ya Tatu: Tozo/ VAT - Baada ya kufika nchini, Tutajulishwa gharama
 
Hapana sio bei halisi

Bei halisi hutokana na
  • Option za bidhaa zilizopo ambapo inatakiwa uchague ni unahitaji.
  • Idadi ya bidhaa husika
  • Njia ya usafirishaji itakayotumika kukufikishia mzigo
Ndipo gharama halisi itajitokeza.
Asante
 
Kuna watu tuliwaunganisha naye kupitia anayoyaandika, matokeo yake akawatapeli, na mpaka leo hajawarudishia hela, na ni malaki ya hela.
duhhh hizi tuhuma ni nzito sana, mkuu una ushahidi aliwatapeli?? ni vizuri ukaonesha ushahidi vinginevyo unaharibu biashara za watu bila sababu
 
duhhh hizi tuhuma ni nzito sana, mkuu una ushahidi aliwatapeli?? ni vizuri ukaonesha ushahidi vinginevyo unaharibu biashara za watu bila sababu
Mwaka jana, kati ya Mwezi Feb - June 2020. Kuna member wanne hawakupata bidhaa zao.
 
duhhh hizi tuhuma ni nzito sana, mkuu una ushahidi aliwatapeli?? ni vizuri ukaonesha ushahidi vinginevyo unaharibu biashara za watu bila sababu
Mbona wewe hutoi ushahidi kuwa nadanganya!? Acha kujipendekeza mkuu.
 
Nashauri utoe namba ya simu ili mawasiliano yafanyike kwa urahisi
 
Nashauri utoe namba ya simu ili mawasiliano yafanyike kwa urahisi
emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0788 203 160
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 788 203 160
4. Skype: mw1rct
5. Telegram: @MwlRCT

emoji778.png
MUDA WA KUWASILIANA NAMI

1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
 
Back
Top Bottom