Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiomnasafirisha vitu kutoka US? Nahitaji TV
AsanteHapana sio bei halisi
Bei halisi hutokana na
Ndipo gharama halisi itajitokeza.
- Option za bidhaa zilizopo ambapo inatakiwa uchague ni unahitaji.
- Idadi ya bidhaa husika
- Njia ya usafirishaji itakayotumika kukufikishia mzigo
TZS. 747,350![]()
Automatic Bank Note Bill Counter Currency Money Pound Euro Cash Count Machine UK | eBay
Find many great new & used options and get the best deals for Automatic Bank Note Bill Counter Currency Money Pound Euro Cash Count Machine UK at the best online prices at eBay! Free delivery for many products!www.ebay.co.uk
Hadi naipata hapa bongo ni sh ngap itanitoka?
View attachment 1721324
duhhh hizi tuhuma ni nzito sana, mkuu una ushahidi aliwatapeli?? ni vizuri ukaonesha ushahidi vinginevyo unaharibu biashara za watu bila sababuKuna watu tuliwaunganisha naye kupitia anayoyaandika, matokeo yake akawatapeli, na mpaka leo hajawarudishia hela, na ni malaki ya hela.
Mwaka jana, kati ya Mwezi Feb - June 2020. Kuna member wanne hawakupata bidhaa zao.duhhh hizi tuhuma ni nzito sana, mkuu una ushahidi aliwatapeli?? ni vizuri ukaonesha ushahidi vinginevyo unaharibu biashara za watu bila sababu
matokeo yake akawatapeli
Mwaka jana, kati ya Mwezi Feb - June 2020. Kuna member wanne hawakupata bidhaa zao.
Hii inajumuisha na kodi?TZS. 747,350
Hadi kufikisha mzigo Dar.
Mbona wewe hutoi ushahidi kuwa nadanganya!? Acha kujipendekeza mkuu.duhhh hizi tuhuma ni nzito sana, mkuu una ushahidi aliwatapeli?? ni vizuri ukaonesha ushahidi vinginevyo unaharibu biashara za watu bila sababu
Nimeona muhusika ashatoa maelezo inatosha mkuuMbona wewe hutoi ushahidi kuwa nadanganya!? Acha kujipendekeza mkuu.
Angalia hii item kwenye site nyingine kama ebay.Weiterleitungshinweis
www.google.com
Itani cost kiasi gani hii spare part?
Hakuna kote, iko huko sjui singaporeAngalia hii item kwenye site nyingine kama ebay.
Nashauri utoe namba ya simu ili mawasiliano yafanyike kwa urahisi
NJIA ZA MAWASILIANO![]()
Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0788 203 160
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 788 203 160
4. Skype: mw1rct
5. Telegram: @MwlRCT
MUDA WA KUWASILIANA NAMI![]()
1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.