Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1653009547457.png

TZS. ‭135,150‬
Code:
URL:  https://www.amazon.com/dp/B08LYQ4FB7/ref=as_sl_pc_tf_til?tag=&linkCode=w00&linkId=&creativeASIN=B08LYQ4FB7&th=1
 
. Gharama yake mpaka Bongo itakua bei gani Chief
Website sahihi ya kuchagua simu ni ALIEXPRESS.com , alibaba ni maalum kwa wafanyabiashara wa jumla jumla
 
Website sahihi ya kuchagua simu ni ALIEXPRESS.com , alibaba ni maalum kwa wafanyabiashara wa jumla jumla

Aliexpress nimezikosa, Ebay nimeshindwa jinsi ya kucopy link, ila nimeambatanisha hii picha
IMG_2284.png

IMG_2284.png
 
xiaomi redmi not 11 pro
Hili toleo kwa Online store za china haipo kwa sasa.
Ila kwa Europe Store inapatikana
1653111647356.png

Code:
https://ebay.to/39GNsuQ
Iwapo tutachukua ebay andaa TZS. ‭998,400‬
1653111834855.png

Iwapo utaona link/website yenye gharama nafuu nijulishe.
 
TZS. ‭477,640.5‬
Code:
https://www.ebay.co.uk/itm/313751771775?hash=item490d101a7f:g:SIsAAOSwI~5e18AT&shqty=1&isGTR=1#shId

Sorry mkuu iyo 477,640.50 ni mpaka naipata mkononi au kuna malipo mkononi au kuna malipo ya ziada, na kwa wastani inachukua siku ngapi kufika
 
siku ngapi kufika
Ndani ya siku 14 hadi 21
mpaka naipata mkononi
Sahihi, hakuna ghrama nyingine,iwapo tu.
  • Haitotokea mzigo ukadaiwa VAT
  • au yale Malipo ya posta ambayo ni TZS. 5,900 👇
1653117891924.png
===
Iwapo upo mkoani utalipia TZS. 20,000 kama gharama za kutuma mzigo kwa EMS
===
emoji778.png
KODI UTAKAYOLIPIA PINDI MZIGO UKIFIKA

  1. Pindi ununuapo bidhaa toka nje kumbuka kuna swala la kodi pindi bidhaa ifikapo nchini. (Kuna baadhi ya bidhaa huwa hazina nakodi – Mamlaka husika ndio huainisha bidhaa zipi zisizotozwa kodi)
  2. Utawajibika kwa malipo yote yatakayohitajika na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa bidhaa uliyonunua na iwapo utatakiwa kuilipia kodi.
  3. Gharama ya kodi hujulikana baada ya kuwa mzigo umekaguliwa na maafisa ushuru wa forodha hapa nchini.
  4. Iwapo kutakuwa na charges zingine Toka kwa shipping agent baada ya mzigo kufika utajulishwa na utawajibika kulipia.
  5. Malipo yote utakayofanya utapewa stakabadhi husika.
 
Back
Top Bottom