Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1670425933797.png
 
Nahitaji kujua gharama za kupata sumsung s9 plus battery toka Ebay au kwingine popote ila iwe original
 
Mwl me simu yangu Galaxy A50 imevunjika camera, naweza kupata original huko kwa ajili ua kufanya replacement? (Both front and rear).
Msaada wako tafadhali.
 
Mwl.RCT vip naweza kuwa wakala wako nikipata mteja nikuunganishe nae nami nipate chochote kitu coz nilipo Kuna wafanya Aziz wenzangu wengi tu na najua nitawapata
 
Back
Top Bottom