nyakyusa
Member
- Sep 13, 2022
- 60
- 90
kwa hii used nitaipataje nipe muongozo mkuu.Nikutafutie | Used | Renewed | Used in Good Condition like New | kwa 800K nadhani itapatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hii used nitaipataje nipe muongozo mkuu.Nikutafutie | Used | Renewed | Used in Good Condition like New | kwa 800K nadhani itapatikana.
mkuu tuachane na used kwa mpya nitaipata kwa njia gani nipatie maelezo toshelezi.TZS. 920,550 | Used - like New
nitaipata kwa njia gani nipatie maelezo toshelezi.
- Toka USA hadi Dar | Inachukua siku 10 baada ya kutolewa tracking number.
- Mzigo ukiwa Dar kuna option Tatu: a] Ufuate mzigo b] Uletewe mzigo c] Utumiwe kwa EMS iwapo uko mkoani. Wewe utanipa maelekezo nini kifanyike.
mkuu niwekee hapahapa wala hakuna shida.Tayari nimekutumia PM
1. Ingia TIGO Pesa *150*01#mkuu niwekee hapahapa wala hakuna shida.
nikilipa nusu baada ya kupata didhaa ndipo nimalizie.
- Toka USA hadi Dar | Inachukua siku 7-10 baada ya kutolewa tracking number | Usafii wa Ndege
- Mzigo ukiwa Dar kuna option Tatu: a] Ufuate mzigo b] Uletewe mzigo(Delivery ni TZS. 10,000) c] Utumiwe kwa EMS ( utalipa TZS. 20,000) iwapo uko mkoani, na kwa EMS ni ndani ya saa 48 mzigo unakufikia.
- Wewe utanipa maelekezo nini kifanyike.
nataka kuja ofisini moja kwa moja kama inawezekana.Hapana sio utaratibu.
Manunuzi ya mfano GARI, ndi waweza kulipia kwa wamu mbili.nikilipa nusu baada ya kupata didhaa ndipo nimalizie.
ofisi yako inapatikana wapi mkuu nije kulipa cash.Utakuja kuchukua baada ya mzigo kufika | Karibu
Rejea posti namba mbili hapo juu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaofisi yako inapatikana wapi mkuu nije kulipa cash.
- Hivyo sorry sina utaratibu wa kupokea Cash, Tumia njia mojawapo kati ya hizo nilizotaja, Ndio njia zitumiwazo tangu mwanzo wa hii huduma.NJIA YA MALIPO (KUTUMA FEDHA)
Malipo yote yanapitia Benki, Chagua njia mojawapo kati ya hizi kufikisha fedha yako benki.
(a) Kwa kwenda benki na kuweka kiasi husika au
(b) Kwa kutumia Mobile Banking - kwa mtandao wa Tigo au VodaCom (kama ilivyoelekezwa hapa chini)
MALIPO YOTE NI KWA NJIA YA MPESA / TIGO PESA KWA HUU UTARATIBU![]()
1. Piga *150*00# AU *150*01# (kwa Tigo PESA)
2. Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa na 4 kwa Tigo Pesa
3. Mpesa Chagua 4. Weka namba ya kampuni au Chagua 3 kwa Tigo Pesa
4. Tafadhali weka namba ya kampuni No. ( Utapewa )
5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo. (Nitakupa namba hii Baada ya kuwasiliana nami)
6. Weka kiasi (mfano: 50,000/=)
7. Weka namba ya siri.
8. Bonyeza 1 kuthibitisha:
** (BAADA YA MUAMALA KUKAMILIKA, TUMA KWANGU UJUMBE UTAKAOPOKEA- KAMA UTHIBITISHO)
mkuu hakuna kutapeliwa baada ya kulipia bank.Rejea posti namba mbili hapo juu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
- Kipengele cha Angalizo
- Hakuna malipo yafanyikayo kwa Cash.
- Njia za malipo ni hizi hapa chini | Post No.1
- Hivyo sorry sina utaratibu wa kupokea Cash, Tumia njia mojawapo kati ya hizo nilizotaja, Ndio njia zitumiwazo tangu mwanzo wa hii huduma.
Soma na jiridhishe page ya kwanza, kabla ya kufanya muamala.mkuu hakuna kutapeliwa baada ya kulipia bank.
Hakuna utapeli, Fuata utaraibu , Utapata mzigo wako.
mwl.rct hii kutoka nchi gani na inauzwa mtandao upi mkuu.
kwa hizi gharama kuna malipo mengine ya ziada kama vile kodi na megineyo naomba ufafanuzi.Motorola edge | Unlocked | 6GB + 256GB | 64MP Camera | 2020
Condition | NEW
View attachment 2539652
- TZS. 1,102,620
=
![]()