Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari mkuu,nilikua na shida na hiki kifaa cha Praystation nimekosa hapa Mwanza.
Kama itawezekana kuagiza naomba nisaidie
95d1a10b-8bc7-412c-a641-bc7e8868f82e.jpg

046966fa-4571-41aa-97a7-9719a6439b23.jpg
 
Habari mkuu.
Hii gas heater ya vifaranga itanigharim Tzs ngapi hadi mkononi
 

Attachments

  • 1704354520_FpoQStU3Ac.jpg
    1704354520_FpoQStU3Ac.jpg
    165.8 KB · Views: 16
Mambo ni mazito, hapa hapa zinauzwa 250,000

Nikajua labda nje kuna ahueni
Je kwanini hapa nchini bei ni ndogo?
  • Wafanyabiashara wakubwa, huchukua mzigo mkubwa, wanasafirsha kwa Meli, malipo ya mzigo ni kwa CBM, Hivyo Manunuzi ni kwa bie ya jumla, usafirishaji uko chini, kodi iko chini kwa container.
  • Ni vyema ukanunua hapa hapa nchini.
 
Core i5 4690k processor
Condition:
Used: USD 39.89
New
: USD 59
  • Model: Intel Core i5-4690K
  • Base Clock Speed: 3.5 GHz
  • Turbo Boost Speed: Up to 3.9 GHz
  • Cores: 4
  • Cache: 6 MB
  • Socket Type: LGA 1150
  • TDP (Thermal Design Power): 88 watts
1724579035536.png

Code:
URL:
https://www.amazon.com/Intel-i5-4690-Processor-Cache-BX80646I54690/dp/B00JST2QEW
 
Condition:
Used: USD 39.89
New
: USD 59
  • Model: Intel Core i5-4690K
  • Base Clock Speed: 3.5 GHz
  • Turbo Boost Speed: Up to 3.9 GHz
  • Cores: 4
  • Cache: 6 MB
  • Socket Type: LGA 1150
  • TDP (Thermal Design Power): 88 watts
View attachment 3078741
Code:
URL:
https://www.amazon.com/Intel-i5-4690-Processor-Cache-BX80646I54690/dp/B00JST2QEW
Hiyo used jumla ya garama zote ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom