Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaya wake ni upi?Gari mbya sanaa
hakuna Gari hapo limekaa Kama TippreUbaya wake ni upi?
Huo ni mtazamo wako mkuu, hatufanani,hakuna Gari hapo limekaa Kama Tippre
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo gari mbona zimejaa kibao Bongo. Halafu yana sura mbayaaa. Hela niitafute kwa shida halafu ninunue gari baya kama kitimoto pori
tatizo lako hujui magariHuo ni mtazamo wako mkuu,hatufanani,
Kwa upande wangu mimi hiyo gari ni nzuri sana.
Sijui magari? kujua magari ndio kukoje? unataka wote tufanane? yaani wewe unajua Magari zaidi kuliko hao waliolitengeneza? kwahiyo watu wate watakaoipenda hiyo FJ CRUISER wanakua wanajua magari? ila watakaoliponda ndio wanakua wanajua magari? unaweza kukuta hapo humuliki hata Baiskeli tu.tatizo lako hujui magari
hiyo fashion imepitwa nawakati ukinunua hiyo gari Hadi vipofu watakushangaa Dunia yaleo hiyo gari utaendeshea wapi inaama gari huzioni ww au wataka ukienda kijijini kwenu uwadanganye umenunua Hammer?Sijui magari? kujua magari ndio kukoje? unataka wote tufanane? yaani wewe unajua Magari zaidi kuliko hao waliolitengeneza? kwahiyo watu wate watakaoipenda hiyo FJ CRUISER wanakua hawajui magari? ila watakaoliponda ndio wanakua wanajua magari? unaweza kukuta hapo humuliki hata Baiskeli tu.
Maandishi yako yanaonyesha kabisa kua wewe ni mtu wa aina gani,hiyo fashion imepitwa nawakati ukinunua hiyo gari Hadi vipofu watakushangaa Dunia yaleo hiyo gari utaendeshea wapi inaama gari huzioni ww au wataka ukienda kijijini kwenu uwadanganye umenunua Hammer??
Hilo chuma ukiwanacho sanasana utaonekana kolokolo dunia ipo kwenye SUV body ndo habari ya Town
Hujui magari mzee, wewe kabla ya kununua gari unaangalia nini zaidi?hiyo fashion imepitwa nawakati ukinunua hiyo gari Hadi vipofu watakushangaa Dunia yaleo hiyo gari utaendeshea wapi inaama gari huzioni ww au wataka ukienda kijijini kwenu uwadanganye umenunua Hammer??
Hilo chuma ukiwanacho sanasana utaonekana kolokolo dunia ipo kwenye SUV body ndo habari ya Town