Car4Sale Nunua gari ambayo hujawahi kuona Tanzania

Car4Sale Nunua gari ambayo hujawahi kuona Tanzania

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Toyota Landcruiser (Unique car)
Make TOYOTA
Model FJ Cruiser
Engine size (cc) 4000
Fuel Petrol
Color Silver
70,000,000

FJ LANDCRUISER 02.png
FJ LANDCRUISER 01.png
FJ LANDCRUISER 02.png
FJ LANDCRUISER 01.png
FJ LANDCRUISER 03.png
 
dah bro cc 4000 haya wacha wapenda hummer waje..namwonaga nalo basila mwanukuzi basi ana moyo
 
tatizo lako hujui magari
Sijui magari? kujua magari ndio kukoje? unataka wote tufanane? yaani wewe unajua Magari zaidi kuliko hao waliolitengeneza? kwahiyo watu wate watakaoipenda hiyo FJ CRUISER wanakua wanajua magari? ila watakaoliponda ndio wanakua wanajua magari? unaweza kukuta hapo humuliki hata Baiskeli tu.
 
Sijui magari? kujua magari ndio kukoje? unataka wote tufanane? yaani wewe unajua Magari zaidi kuliko hao waliolitengeneza? kwahiyo watu wate watakaoipenda hiyo FJ CRUISER wanakua hawajui magari? ila watakaoliponda ndio wanakua wanajua magari? unaweza kukuta hapo humuliki hata Baiskeli tu.
hiyo fashion imepitwa nawakati ukinunua hiyo gari Hadi vipofu watakushangaa Dunia yaleo hiyo gari utaendeshea wapi inaama gari huzioni ww au wataka ukienda kijijini kwenu uwadanganye umenunua Hammer?

Hilo chuma ukiwanacho sanasana utaonekana kolokolo dunia ipo kwenye SUV body ndo habari ya Town
 
hiyo fashion imepitwa nawakati ukinunua hiyo gari Hadi vipofu watakushangaa Dunia yaleo hiyo gari utaendeshea wapi inaama gari huzioni ww au wataka ukienda kijijini kwenu uwadanganye umenunua Hammer??

Hilo chuma ukiwanacho sanasana utaonekana kolokolo dunia ipo kwenye SUV body ndo habari ya Town
Maandishi yako yanaonyesha kabisa kua wewe ni mtu wa aina gani,
Pole sana and get well soon.
 
hiyo fashion imepitwa nawakati ukinunua hiyo gari Hadi vipofu watakushangaa Dunia yaleo hiyo gari utaendeshea wapi inaama gari huzioni ww au wataka ukienda kijijini kwenu uwadanganye umenunua Hammer??

Hilo chuma ukiwanacho sanasana utaonekana kolokolo dunia ipo kwenye SUV body ndo habari ya Town
Hujui magari mzee, wewe kabla ya kununua gari unaangalia nini zaidi?
 
Back
Top Bottom