politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 548
- 701
Kweli mkuu but Life is about priorityGari ni hitaji la msingi sn asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sn wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari y mkononi iliokuwa kwny hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwez pata nyumba y mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.
Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii n nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana n yawasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.
Gari now days ni hitaji la msingi sn hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.
Mm binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa n kipato cha chini sn, bt adha y usafiri, mahitaji y kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya ist…
Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii n kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).
Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.
Now nimebadilisha gari…natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.
Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job,
sitaki kukumbuka ile homa y mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.
Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwny mwendokasi wakati wa kugombania.
Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini n shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo y ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na ss tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).
Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Ni kweli gari ni muhimu na kitu kizuri nakubali,Gari ni hitaji la msingi sn asikwambie mtu.

Hongera kwa kununua mchumaGari ni hitaji la msingi sn asikwambie mtu.

Si mradi ana usafiri? Je nyie miccm mnavyotweza utu wa wapiga kura wenu mradi mjinufaishe mavitambi yenu je?Ni kweli gari ni muhimu na kitu kizuri nakubali,
ila Lakini wengi pia wamepata na kumiliki magari baada ya kufanyishwa kazi na mambo ya fedheha sana dhidi ya utu wao, dah! Inasikitisha sana 🐒
Sawa ndugu dalali wa magari.Gari ni hitaji la msingi sn asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sn wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari y mkononi iliokuwa kwny hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwez pata nyumba y mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.
Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii n nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana n yawasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.
Gari now days ni hitaji la msingi sn hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.
Mm binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa n kipato cha chini sn, bt adha y usafiri, mahitaji y kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya ist…
Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii n kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).
Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.
Now nimebadilisha gari…natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.
Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job,
sitaki kukumbuka ile homa y mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.
Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwny mwendokasi wakati wa kugombania.
Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini n shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo y ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na ss tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).
Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Kwamba siopoa kugombea daladala na mafundi wako uliotoka kuwalipa posho soon.😂✅Hapa una maanisha kuwa kama una uwezo basi mtu aanze Kununua Gari kabla ya kujenga..
Ni Kweli kabisa, hasa kwa Wakaaji wa Dar.
Usafiri unatesa sana.
Mipango ianzie kwenye Gari.
Haijalishi ni Miaka Mingap unajisave, ila Ni muhimu pia Kwenda Site kukoromea Mafund ukiwa na hata Ki IST chako.
Hahaha… mm sio dalali kaka… ila km unataka kuja ofisini njoo mtaa wa likoma na azikiweSawa ndugu dalali wa magari.
Ofisi zenu zipo wapi?
umeona sasa Tatizo lilipo?Si mradi ana usafiri? Je nyie miccm mnavyotweza utu wa wapiga kura wenu mradi mjinufaishe mavitambi yenu je?
🤣 kabisa kaka… alafu usitegemee fundi akupishe siti ya daladala kisa anajenga kwakoKwamba siopoa kugombea daladala na mafundi wako uliotoka kuwalipa posho soon.😂✅