Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Binafsi nadhani gari labda nitanunua nikifanikiwa kufikisha miaka 45, huwa sioni sababu ya msingi haswa kwa nini nimiliki gari kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki magari kwa sababu ya shinikizo rika (peer pressure), tena usiombe ukute amenunua kwa mkopo utamuonea huruma.

Kama unategemea watu wakuheshimu kwa sababu una gari basi inawezekana una tatizo la afya ya akili, siku usipokuwa na gari na heshima yako mbele yao ndio inapotea??!!!

Kama wewe ni Kijana na unatoka kwenye familia zetu hizi za mama ntilie usiingie kwenye mikumbo ya kutafuta Liabilities badala ya Assets.

Vijana wenzangu jifunzeni kuishi maisha yenu bila kuhitaji uthibitisho kutoka kwa watu wengine.
Kuna ule uzi wa magari mtoa maada kakasirika sana mpaka kafungua uzi wake

Hawezi kukuelewa haya yote unayo sema

Anaona gari ndio kila kitu, bado hajakua
 
Huyu ni zwazwa yani mtu aanze kununua gari kabla ya nyumba!, sisi sio ndege ya kwamba tutaishi kwenye viota!..
Nyumba ni muhimu zaidi!.
au una maoni gani cocastic..?
Ukiona mtu anasema ataanza na nyumba kabla ya gari achunguzwe akili yake.
Naona umemtag empty set mwenzako ili mtongozane kwnye uzi wangu…
Hivi huyo cocastic wako hajakwambia anavyochukia mwendokasi baada ya kubanwa mpaka akaangusha head quarter 🤣
 
Ukiona mtu anasema ataanza na nyumba kabla ya gari achunguzwe akili yake.
Naona umemtag empty set mwenzako ili mtongozane kwnye uzi wangu…
Hivi huyo cocastic wako hajakwambia anavyochukia mwendokasi baada ya kubana mpaka akaangusha head quarter 🤣
Nachukia Mwendokasi, ila napenda usafiri mwingine wa umma, km bajaji, Bolt, Ubber, etc.
Nweiii sijapenda kunishushua lol, 😂😂😂😂
 
sote tukifanana akili unafikiri kutakuwa na usalama..?
hivi we huwazi watu wote tununue gari hiyo jam yake utaiweza kama tu iliyopo sasahivi mnalia..😅

Mtongozo wangu na coca wewe haukuhusu na huu uzi ni wa jf si mali yako tena!.
 
Binafsi nadhani gari labda nitanunua nikifanikiwa kufikisha miaka 45, huwa sioni sababu ya msingi haswa kwa nini nimiliki gari kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki magari kwa sababu ya shinikizo rika (peer pressure), tena usiombe ukute amenunua kwa mkopo utamuonea huruma.

Kama unategemea watu wakuheshimu kwa sababu una gari basi inawezekana una tatizo la afya ya akili, siku usipokuwa na gari na heshima yako mbele yao ndio inapotea??!!!

Kama wewe ni Kijana na unatoka kwenye familia zetu hizi za mama ntilie usiingie kwenye mikumbo ya kutafuta Liabilities badala ya Assets.

Vijana wenzangu jifunzeni kuishi maisha yenu bila kuhitaji uthibitisho kutoka kwa watu wengine.
Acha kutisha vijana wapambanaji wewe…
So tusubiri mpaka 45 ndo tushike chuma?🤣
Kipindi hiko hata test ya macho itabid uhonge maana uono utaanza kuwa dhaifu. Au wataka kuendesha gari na fimbo nini? 🤣
 
Nachukia Mwendokasi, ila napenda usafiri mwingine wa umma, km bajaji, Bolt, Ubber, etc.
Nweiii sijapenda kunishushua lol, 😂😂😂😂
🤣 kwa mvua hizi za upepo… hizo bajaji zako cku zitakutokea puani.

Na kuwa makini na huyo kijana wa kumuita KENZY hana mapenzi ya dhati, pisi km ww sio ya kuitembeza juani…
 
Gari ni hitaji la msingi sn asikwambie mtu.

Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.

Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sn wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.

Milion 6 unapata gari y mkononi iliokuwa kwny hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwez pata nyumba y mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.

Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii n nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana n yawasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.

Gari now days ni hitaji la msingi sn hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.

Mm binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa n kipato cha chini sn, bt adha y usafiri, mahitaji y kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya ist…

Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii n kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).

Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.

Now nimebadilisha gari…natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.

Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job,

sitaki kukumbuka ile homa y mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.

Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwny mwendokasi wakati wa kugombania.

Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini n shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo y ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na ss tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).

Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).

Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Ushauri wa hovyo kabisa
 
🤣 kwa mvua hizi za upepo… hizo bajaji zako cku zitakutokea puani.

Na kuwa makini na huyo kijana wa kumuita KENZY hana mapenzi ya dhati, pisi km ww sio ya kuitembeza juani…
Mkuu naona sasa umeanza kutumia akili mnemba!.. nishakuambia mtongozo wangu juu ya coca haukuhusu kaa mbali utakuja kurogwa bure...🤣
 
Ni Tanzania peke mafanikio ni kuwa na Gari na kutumia usafiri wa uma ni jambo la aibu.

Mawazo ya mtoa mada
So kuwa na nyumba ndo mafanikio? 🤣 hii nchi hii… uhuru wa kumiliki ardhi ndo umetufikisha huku

Maana mtu anajiita ananyumba kumbe uhalisia n kwamba anasehemu y kuegesha mwili tuu
 
Back
Top Bottom