Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Kila mtu na kipaumbele chake, Tusipangiane.

Nweii, tumejua umetoka kwenye IST na kuja kwenye Harrier, japo hujasema.

😂😂😂😂😂
Huyu ni zwazwa yani mtu aanze kununua gari kabla ya nyumba!, sisi sio ndege ya kwamba tutaishi kwenye viota!..
Nyumba ni muhimu zaidi!.
au una maoni gani cocastic..?
 
Kwa Dar jaman usikose private transport

Ikishindikana gar bas jitahid upate hata pikipik.

Kukosa usafir wako Dar sometimes unajikuta ktk mazingira magum sana .

Asikwambiw mtu usafir wa umma hasa hasa Dar ni kero kubwa.
Unaweza ukajikuta unakosa amani na ucjue shida nini kumbe n adha ya usafiri.
Nawasifu sana wale madogo wanaoamua kununua vesper 🛵 kwa ajili y mishe mishe za mjini. Lita 1 inaenda mpaka kilometa 50.
Na zipo zile za kucharge…

Unyonge ni kujitakia aiseee
 
Sawa napata gari gani nzuri kati ya m20-m35?
Yapo mengi ndugu yangu… tena hapo nakupa suv tupu… cz nafahamu unaishi mabondeni…

ila ujipange mafuta ss otherwise utapiga nalo picha
Kwa budget ya 20 - 30 million utapata :-
Subaru forester, mitsubish outlander, voxwagen tourage, hurrier(not recommend) klugger, rav4 killtime, vargurd, mitsubish RVR, Nissan dualis (not recommend) au labda ulipitishe kwa mwamposa.
 
Aah aah eti mabondeni.

Ntumie namba PM.
 
Back
Top Bottom