Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Hahaha, Sio uwanja wa taifa?🤣 vuta chuma ndugu… makao yetu Mbinguni

🤣🤣 mkuu huo pia n usafiri, kibaya zaid kwa mwanaume ni kukosa mwendo, lazima uwe na mwendo wa kukutoa point A to BSisi tulionunua pikipiki za kutembelea ngoja tukae kimya kwanza
Acha ushamba... dunia imebadilika sana. EndGari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari ya mkononi iliokuwa kwenye hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwezi pata nyumba ya mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.
Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii ni nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana ni ya wasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.
Gari now days ni hitaji la msingi sana hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.
Mimi binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa na kipato cha chini sana, bt adha ya usafiri, mahitaji ya kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya IST.
Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii ni kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).
Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.
Now nimebadilisha gari, natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.
Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job.
Sitaki kukumbuka ile homa ya mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.
Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwenye mwendokasi wakati wa kugombania.
Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini na shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo ya ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na sisi tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).
Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Kweli dunia imebadilika na magari yanazid kuundwa, why na ww hutaki kubadilika ukajipatia lako la kukustili na aibu za hapa na pale?Acha ushamba... dunia imebadilika sana. End
Hahahaha, tunatofautiana vipaumbele aiseeShauli yako mkuu…
Hahaha…. Kabisa mkuuHahahaha, tunatofautiana vipaumbele aisee
Miundombinu ya kununua chombo ndio hatuna kaka, hamna asiyependa kutembelea taco.Gari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari ya mkononi iliokuwa kwenye hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwezi pata nyumba ya mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.
Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii ni nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana ni ya wasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.
Gari now days ni hitaji la msingi sana hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.
Mimi binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa na kipato cha chini sana, bt adha ya usafiri, mahitaji ya kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya IST.
Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii ni kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).
Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.
Now nimebadilisha gari, natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.
Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job.
Sitaki kukumbuka ile homa ya mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.
Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwenye mwendokasi wakati wa kugombania.
Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini na shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo ya ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na sisi tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).
Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Mbona unaonekana mzeeBinafsi nadhani gari labda nitanunua nikifanikiwa kufikisha miaka 45, huwa sioni sababu ya msingi haswa kwa nini nimiliki gari kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki magari kwa sababu ya shinikizo rika (peer pressure), tena usiombe ukute amenunua kwa mkopo utamuonea huruma.
Kama unategemea watu wakuheshimu kwa sababu una gari basi inawezekana una tatizo la afya ya akili, siku usipokuwa na gari na heshima yako mbele yao ndio inapotea??!!!
Kama wewe ni Kijana na unatoka kwenye familia zetu hizi za mama ntilie usiingie kwenye mikumbo ya kutafuta Liabilities badala ya Assets.
Vijana wenzangu jifunzeni kuishi maisha yenu bila kuhitaji uthibitisho kutoka kwa watu wengine.
🤣 bora ww umesema ukweli…. Mungu mwema atakuongoza kwny miundommbinu ya utafutaji na ww utembelee tacoo. Wale wa kukomaa na mabanda ya kuegesha ubavu acha wakomaeMiundombinu ya kununua chombo ndio hatuna kaka, hamna asiyependa kutembelea taco.
-Nakuunga mkono, heshima Kwa sababu ya gari ni ufala, wengi ni kuigana na kushindana maofisini na mitaani,Binafsi nadhani gari labda nitanunua nikifanikiwa kufikisha miaka 45, huwa sioni sababu ya msingi haswa kwa nini nimiliki gari kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki magari kwa sababu ya shinikizo rika (peer pressure), tena usiombe ukute amenunua kwa mkopo utamuonea huruma.
Kama unategemea watu wakuheshimu kwa sababu una gari basi inawezekana una tatizo la afya ya akili, siku usipokuwa na gari na heshima yako mbele yao ndio inapotea??!!!
Kama wewe ni Kijana na unatoka kwenye familia zetu hizi za mama ntilie usiingie kwenye mikumbo ya kutafuta Liabilities badala ya Assets.
Vijana wenzangu jifunzeni kuishi maisha yenu bila kuhitaji uthibitisho kutoka kwa watu wengine.
Naunga mkono, binafsi kabla ya kununua gari niliwaza kwanza jinsi gani gari litakuwa msaada kwangu kwenye kupunguza mdaBinafsi nadhani gari labda nitanunua nikifanikiwa kufikisha miaka 45, huwa sioni sababu ya msingi haswa kwa nini nimiliki gari kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki magari kwa sababu ya shinikizo rika (peer pressure), tena usiombe ukute amenunua kwa mkopo utamuonea huruma.
Kama unategemea watu wakuheshimu kwa sababu una gari basi inawezekana una tatizo la afya ya akili, siku usipokuwa na gari na heshima yako mbele yao ndio inapotea??!!!
Kama wewe ni Kijana na unatoka kwenye familia zetu hizi za mama ntilie usiingie kwenye mikumbo ya kutafuta Liabilities badala ya Assets.
Vijana wenzangu jifunzeni kuishi maisha yenu bila kuhitaji uthibitisho kutoka kwa watu wengine.
Uzi ufungwe.Binafsi nadhani gari labda nitanunua nikifanikiwa kufikisha miaka 45, huwa sioni sababu ya msingi haswa kwa nini nimiliki gari kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki magari kwa sababu ya shinikizo rika (peer pressure), tena usiombe ukute amenunua kwa mkopo utamuonea huruma.