cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Inawezekana!! 😂😂😂😂😂Sio vagward....in some one's voice
Inawezekana!! 😂😂😂😂😂Sio vagward....in some one's voice
🤣 msinifokee, nishatoka kwny ist na kiwanja cha 10x10 nishanunua.. naanza ujenziiiiiiiiiSio vagward....in some one's voice
Shauli yako mkuu…Humu ndio pa kukaa kwanza
🤣 acha uoga wa maisha kk, hakuna nyumba y million 10Wapenda mademu ndio wanunue magari kabla ya kujenga kwa nyie mliooa jengeni hata mabanda mhamie humo hii habari ya kupanga chumba na sebule miaka kumi mizima hadi mnakuwa na mitoto minne mitatu kwenye chumba na sebule ni aibu kuliko kunyeshewa na mvua
Ukute ni wewe jirani hapa mwenye kagari wakati ndani mmejazana familia nzima kachumba kenyewe kamoja na sebule🤣 acha uoga wa maisha kk, hakuna nyumba y million 10
Bro hata ukiwa umeanza ujenzi, ni aibu kugombea daladala na mafundi wako.Ata madalali wanakupa heshima ukiwa na usafiri.
Alafu gari bwana inasaidia sana kula totoz nzuri nzuri. Maisha yenyewe hatuna mkataba na muumba, enjoy while u can huku unasaka hizo assets
🤣 jiran usiniexpose nitunzie siri.Ukute ni wewe jirani hapa mwenye kagari wakati ndani mmejazana familia nzima kachumba kenyewe kamoja na sebule
Tell them, tell them….hakuna cha priority wala nini, kwasasa ukiwa unaishi Dar gari ni muhimu mno
Uzuri hata kwny gari unaweza kupata la kipato chako…Nunua gari ukiwa unajiweza, sio ununue halafu uanze kugongea wese.
Yaani kwa kifupi, ishi kulinga na kipato chako
😃😃😃💚Gari la million 3 hakuna. Labda km unaulizia chombo cha usafiri
Gari hatupost ila chombo cha usafiri uchoweza pata kwa bei hiyo n 1. Nissan mach #B 2. Hinda fit #A 3. Passo #C 4. Toyota Bb #B hizi waweza kupata zenye hali nzuri kidogo
Mikweche unayoweza kubaatisha ni 1. Peugeot 1996 #A 2. Toyota Charse 1998 #A 3. Corolla 1999 #A 5. Suzuki short chases 1999 #B
Epuka vyombo hivi kwa bei hiyo…
Vits, ist, mazda, verossa, brevis, toyota porter, rav 4 old etc…utakuja kilia kilio cha mbwa mwizi.
Kila la heri…
Pole ndugu yangu. Wote tulipita hukoLeo nimepata aibu sana kwenye mwendokasi nikawaza hili jambo
Akili za kimasikini hizi….Gari la m8 huku umepanga sio gari ni takataka na litakuzidishia ufukara tu kulihudumia.
Mtu huna pa kuishi unadema dema na wenye nyumba zao wakukodishie halafu unanunua gari la m8, m10 ni umasikini wa fikra.
Bora hata ungelipia kiwanja hiyo pesa ya kurekebisha gobogobo lako kila mwezi ukadunduliza ukajenga hilo banda ukaishi humo baada ya miaka kadhaa litapanda thamani.
🤣 ila tz bhn 🙌🏽Hata Vitz old model ni ndinga. Kwangu mimi gari ya chini ya Tsh 15m sio gari.
Tunarudi pale pale.. Gari (Kuhudumia) si kwa Maskini pia Nyumba (Kujenga) si kwa Maskini..Mkuu hakuna ubaya ukinunua used mkononi kwa mtu hata kwa 6 au 5 au 3 ni sawa tu kama kipato cha kurekebisha na kumantain hilo gari kipo bila kuathiri mambo mengine muhimu kama kulipa kodi huku ukijenga nyumba ya kwako.
Shida ni pale ambapo kipato chako huwezi kubalance maintance ya gari, kodi na ujenzi halafu ukarisk kununua gari used kwa mtanzania ndo gari linakuwa takataka sababu ya huduma finyu ukipambana na kutafuta kodi na kufanya ujenzi huku ukishindwa kulipa huduma zake.
KabisaGari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari ya mkononi iliokuwa kwenye hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwezi pata nyumba ya mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.
Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii ni nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana ni ya wasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.
Gari now days ni hitaji la msingi sana hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.
Mimi binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa na kipato cha chini sana, bt adha ya usafiri, mahitaji ya kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya IST.
Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii ni kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).
Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.
Now nimebadilisha gari, natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.
Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job.
Sitaki kukumbuka ile homa ya mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.
Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwenye mwendokasi wakati wa kugombania.
Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini na shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo ya ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na sisi tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).
Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Hahaha, Mkuu upo sahihi, maisha magumu sana, pesa ngumu.Akili za kimasikini hizi….
Mm nilishanunua gari la 10.5 million na halikuwai kunisumbua hata cku moja. Zen 10 million kwny gari n kubwa sn unapata mkasi balaah…
Siku ukianza kumiliki gari utaelewa nguvu y 10 milion. Naona ss unaelewa nguvu y buku tuu kwny 🏍
Ni kweli.Tunarudi pale pale.. Gari (Kuhudumia) si kwa Maskini pia Nyumba (Kujenga) si kwa Maskini..
Means.. tujitahidi kutafuta/kutega hela, ukiwa na hela haiangalii kipi cha kuanza (Kipaumbele) vyote vinaenda parallel..
🤣 vuta chuma ndugu… makao yetu MbinguniHahaha, Mkuu upo sahihi, maisha magumu sana, pesa ngumu.