Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Acha ushamba... dunia imebadilika sana. End
 
Ukija kubanwaa pumzi kwenye mwendokasi nusu kufa ndo utaelewa nyumba na gari kipi uanze kununua 😀 😀 😀
 
Ukija kubanwaa pumzi kwenye mwendokasi nusu kufa ndo utaelewa nyumba na gari kipi uanze kununua 😀 😀 😀
 
Miundombinu ya kununua chombo ndio hatuna kaka, hamna asiyependa kutembelea taco.
 
Inategeme na Mkoa ulipo.
Mfano Ukiwa DSM usafiri ni muhimu kuliko ukiwa Morogoro
 
Mbona unaonekana mzee
 
🤣
Miundombinu ya kununua chombo ndio hatuna kaka, hamna asiyependa kutembelea taco.
🤣 bora ww umesema ukweli…. Mungu mwema atakuongoza kwny miundommbinu ya utafutaji na ww utembelee tacoo. Wale wa kukomaa na mabanda ya kuegesha ubavu acha wakomae
 
Wadada wengi wenye magari huku hawana vipato vya kutosha tunawagonga Hadi 0713 na kuwapa HeLa za mafuta
 
-Nakuunga mkono, heshima Kwa sababu ya gari ni ufala, wengi ni kuigana na kushindana maofisini na mitaani,
  • hapo kwenye mkopo ndio balaa unakuta mtu kakopa anakatwa 400,000/- na anabaki na 800,000/- hiyo hiyo ajaze mafuta,ale,alewe,atunze mke,alipe kodi.
  • Kwa baadhi ya mademu wanaomiliki magari ya mikopo tushawagonga sana Kwa kuwapa 50,000/ hela za mafuta
 
Naunga mkono, binafsi kabla ya kununua gari niliwaza kwanza jinsi gani gari litakuwa msaada kwangu kwenye kupunguza mda
Na kwa kweli linanisaidia sana.
Sijawahi kuwaza kuvutia mademu wala kumfurahisha mtu.
 
Uzi ufungwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…