Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Boxer sio usafiri, ni nyenzo ya kukusaidia Kwa haraka kuwahi kizimu!Inategemea na priority ya mtu
Siwezi kununua gari sababu umesema tu wewe ila naangalia na hali ya kwangu na familia .
Fikiria ninategemea na ukoo nasomesha ndugu na bado nimeoa hilo gari sio kwamba siwezi kununua ila naangalia na priorities zangu .
That's why nina boxer yangu poa kabisa inanipeleka sehemu na kazini na kwa haraka bila hata foleni .
Nitanunua gari muda ukifika.
Sina la kukujibuBoxer sio usafiri, ni nyenzo ya kukusaidia Kwa haraka kuwahi kizimu!
Kazi hakuna hela hakuna tunabeti na kupata hela ya kula siku moja tu, hela ya kununua gari inatoka wapi?Gari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.
Mtu anaopa ukimwi na pombe ila anapanda bodabodaBoxer sio usafiri, ni nyenzo ya kukusaidia Kwa haraka kuwahi kizimu!
Mwalimu ni kapuku?sio kapuku mwalimu
Mwalimu wa primary school 🎒Mwalimu ni kapuku?
Mbona mi mwalimu wa awali,na siyo kapuku.Mwalimu wa primary school 🎒
Kwa mshara gani mwalimu wa primary anao na ukizingatia hakuna marupurupuMbona mi mwalimu wa awali,na siyo kapuku.